beneli
Member
- May 1, 2013
- 86
- 7
Habari wana jukwaa, naomba msaada wa kisheria kuhusu effects ya understated share capital /nominal share katika kustate shareholding in private limited company
Mfano unaweza sema the company share capital is 1 M or 120 M, Je kuna mamlaka itataka kujua kuhusu mtaji huo? Au kutaka kuthibitisha uwepo wake?
Natanguliza shukrani zangu
Mfano unaweza sema the company share capital is 1 M or 120 M, Je kuna mamlaka itataka kujua kuhusu mtaji huo? Au kutaka kuthibitisha uwepo wake?
Natanguliza shukrani zangu