Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
siwezi acha mke wangu... niliye mchagua kwa sababu ata destroy my future ambayo nimeishika mkononi...sasa jamani umeoa mwanamke mrembo...lazima atongozwe tu.....km unaona ana tabia mbaya mrekebishe... Bila kuchoka weye ndo una tabia unazozipenda sasa yeye aote??...huenda hata wewe una kitu hakipendi kwako km kunuka mdomo!!..utaacha??? Mke akienda nje jiulize wewe me" ndo taatizo au jinsi unavyo chakata hilo limashine. Vinginevyo utaoa wengi...hata usio wataka....na km ukimuacha huyo mke ni ivi hukumpenda!! Ni bora aende kweli.....achana na kupenda bana tusidanganyane hkn cha limbwata wala nini....mkimfuata huyu mleta mada mta kufa wengi kwa pressure!! Ukimuona my lover amekumbatiwa...hayaaa weee! Mtanikumbuka.....usichezee mapenziiiUzi mzuri na sio kwa wanawake tuu
Hata wanaume wanaofanyia wanawake hayo matendo waachwe tuu hamna namna
Inakuwa hiviii........😆😆😆😆😆😅Kwahiyo kwa Kiswahili inakuwaje??
So it's C&PBandiko zuri kutoka
Opera News - Neuesten Nachrichten In Germany-German | Aktuelle Nachrichten
Neuesten Germany-German Nachrichten auf OperaNewsApp.com bekommen: Aktuelle Nachrichten und Videos in Germany-German , Fußballnachrichten, Politik, Sport, Unterhaltung, Technik, Handel.za.opera.news