Nadhani hili thread haliwahusu kina Fidel and co. Hili linawahusu wanaume wenye ndoa zao takatifu.
Samahani kama nitakuwa nimekosea.
na ndio gia inawasaidiaga pia kuwapata hao mahawara....tabia mbaya sana hiyo, mie nawakataga nishai kweli hapa ofcn unakuta mtu anamueezea galfrnd wake in/out...nawakimbizaga na stori za kijinga.
Geoff ulikuwa baa za uswahilini tena ndo ukayasikia hayo?manake mi hata kusikiliza huo upuuzi nisingeweza!
Geoff ulikuwa baa za uswahilini tena ndo ukayasikia hayo?manake mi hata kusikiliza huo upuuzi nisingeweza!
NASHANGAZWA SANA na wanaume wanaosimulia namna wanavyofanya mapenzi na wake zao KWA MARAFIKI wakiwa WA BAR........!tena wamelewa kweli kweli mbele za akina ELIZA
LOOK HERE......!
unaweza ongea some tips na mtu wako wa karibu sana tena unaongea vitu vya nje kabisa,i mean ukiwa unaomba ushauri au la!lakini biashara ya kuelezea into details whatever is happening chumbani kama
:idadi ya mishindo yako
:idadi ya mishindo ya mkeo
:how she is screaming
THIS IS NOT RIGHT PEOPLE!
SAMAHANI KAMA NIMEWAKWAZA JAMANI
Yani wewe kila sehemu ni unoko unoko tu! kwanini lakini honey?
Hahahaha! hommie najua ungekuwa busy doing the needful.................
mie cnaga ile unafiki cjui simile, hapana nakupa kubwa naendelea na lyfe, sasa uje unielezee livyombinua mwanamke mwenzangu kichwa chini miguu juu inanisaidia nini upuuzi kama huo? nakukata nishai.
Najua hupendi kubadilishana mawazo ya kiufundi na wadau hahahaha
Wengi ndipo wanapo lia kozi za kudu ze nidiful
mkulu sasa kama malufundi au la ndo uje usimulie tena baa bana.,....
mie cnaga ile unafiki cjui simile, hapana nakupa kubwa naendelea na lyfe, sasa uje unielezee livyombinua mwanamke mwenzangu kichwa chini miguu juu inanisaidia nini upuuzi kama huo? nakukata nishai.
Inakusaidia kujifunza jinsi ya kumfurahisha wa kwako. .