VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
ofcourse sio wote hapa ni statistics..... mfano tukisema pikipiki ndio inaua sana sio kwamba kila ukipanda pikipiki unakufa au ukipanda gari hautakufa... No. alafu kumbuka that is a qoute nimechukua, na hapa swali ni kwenye mahusiano je kuna uongo zaidi ya huo ambao Chris Rock amesema?Si wote...hii ni tabia tu wa wachache...na kama ujuavyo tabia si km ngozi ya mwili hivyo inabadilika! Kati ya watoto nane huwezi kukosa halali wawili
ofcourse sio wote hapa ni statistics..... mfano tukisema pikipiki ndio inaua sana sio kwamba kila ukipanda pikipiki unakufa au ukipanda gari hautakufa... No. alafu kumbuka that is a qoute nimechukua, na hapa swali ni kwenye mahusiano je kuna uongo zaidi ya huo ambao Chris Rock amesema?
Kuambiwa tu nakupenda na moyoni nimekupa V.I.P class ilihali ni third class(economy class) ni uongo sawa na kupakaziwa mtoto...
Upo, kwa mfano 'huyu ni dada yangu' kumbe ni mpenzi, kimada, hawara au mke wa pili. Au fikiria mtu anayedanganya alikuwa anaangalia match kumbe alikuwa anafanya ngono na mwananke mwingine.
Ntakuoa alafu siku ya siku huyooooo kapotea na kutambulishwa tayari??Anaedanganya mkewe amekufa kupata mdada kumbe si kweli??:!
Duh! Lizzy naona umekusanya makosa yote hujaacha hata moja? OFF TOPIC: hope your ok,missing you besti.
Hakuna uongo mdogo na mkubwa, vyote hivyo vinauma tuu!! Tunashare Mwanaume bila ridhaa yangu wala matarajio yangu kinauma sana. Nakudanga mtoto ni wako kumbe sio kinauma sana vile vile.
Nadhani hapa swali ni Je kuna uongo zaidi ya kumsingizia mtu mimba au mtoto ni wake.... now wanaume wanaweza wakawa na uwezo wa kudanganya zaidi kuliko wanawake au ni mashetani kuliko wanawake lakini the fact remains hata kama wanao uwezo huo lakini hawawezi wakazaa, kwahiyo wanadanganya according to their limits ambazo ni infidelity....., now the question remains from the quotation is infidelity a bigger lie than kumsingizia mtu mtoto.
After all huyo mtoto alipatikana vipi kama sio through infidelity???
hahahah lol
oohh dear kumbe na wewe
unampenda CR..lol
mie kila nikisoma poster zako huwaga nadhai wewe ni wale watu
wako series sana dear..
mambo ya uchesi na vitu kama hivyo hufuatiliagi..
mmhh i think im wrong..
sorry my dear friend..
hahahah lol
oohh dear kumbe na wewe
unampenda CR..lol
mie kila nikisoma poster zako huwaga nadhai wewe ni wale watu
wako series sana dear..
mambo ya uchesi na vitu kama hivyo hufuatiliagi..
mmhh i think im wrong..
sorry my dear friend..
I beg to differ..... lazima hapa tukumbuke mpaka unidanganye mtoto ni wangu basi ukweli ni kwamba kabla ya hapo uligawa penzi langu nje..., na nyongeza ni kusema kiumbe ni changu wakati sio changu, na nyongeza zaidi ni kwamba kuna baba wa watu masikini hajui kwamba amepata baraka ambayo sababu ya uongo wa mtu amenyimwa.....
N.B Kumbuka hapa am just a devils advocate... ninamtetea Chris Rock.....π
AD afadhali nimekuona hapa maana nimepita kwako kule naona kimya!!!
Kwa mimi ninavyohisi...Bibie Judy afaa kuitwa miss
Jinale hajabadili...bado aweza kuitwa mwali
Ikiwa hajaolewa ....na nyumbani hajatolewa
Usianze kumdiss ...kwa yeye kukunyima kiss!
Ujumbe wako huoo nimeacha kule nyumbani kwa LUGHA!!!:A S shade:
I beg to differ..... lazima hapa tukumbuke mpaka unidanganye mtoto ni wangu basi ukweli ni kwamba kabla ya hapo uligawa penzi langu nje..., na nyongeza ni kusema kiumbe ni changu wakati sio changu, na nyongeza zaidi ni kwamba kuna baba wa watu masikini hajui kwamba amepata baraka ambayo sababu ya uongo wa mtu amenyimwa.....
N.B Kumbuka hapa am just a devils advocate... ninamtetea Chris Rock.....π
I Love stand up comedies and I have watched all from Chris Rock, Eddie Murphy to a guy called Demetri...., I used to watch movies a lot and I read a lot I mean a lot.... I guess you can call me boring although I think am just reserved.....π, I am a guy you give me a book I can live alone in an island without getting bored.
Hakuna uongo unaomzidi mwenzake maana uongo wowote ule unaweza kua na madhara sawa!!!
Achana na swala la kusingiziana mtoto...hayo ni matokeo tu ya infidelity ambayo wote wanaweza kucomit!!!
Na je mtu anaemletea UKIMWI mkewe ndani alafu hamwambiii anamchekea tu huku akimwangalia anavyomomonyoka tumueke wapi???