Uongo wote kuwa sawa I dont think so...., first of all uongo wowote ambao mwanaume anaweza kudanganya na mwanamke pia anaweza... that is its practically possible..., lakini wakumsingizia mtoto mwenzake hili ni mwanamke pekee ndio anaweza...., now madhara ya kufanya hivyo ni A kwa mwanaume anayedanganywa, B kwa mwanaume aliyenyimwa haki yake, C kwa mtoto mwenyewe kukosa kumjua the really father...., hilo la kumletea mtu ukimwi ni baya sana lakini practically all men and women can do it...π
mmhh siwajua wengi wao wamelala sahizi dear
ndo maana malngo umefugwa na kuko kimya sana dear lol
duuuhh kumbe hata wewe mashahiri unayadondosha hivyo..
mmmhh kweli jana ulini ahidi unakuja kwa vishindo
na nimekuamini dear..
ngoja nirudi nyumbani haraka
nikakundoolee senks zaidi
maana kweli wastahili dear..
I Love stand up comedies and I have watched all from Chris Rock, Eddie Murphy to a guy called Demetri...., I used to watch movies a lot and I read a lot I mean a lot.... I guess you can call me boring although I think am just reserved.....π, I am a guy you give me a book I can live alone in an island without getting bored.
Fafanua kusingizia!!1Kumtamkia ni wako au kuuchuna???
Hehehhe..ngoja niongeze kasi mpnz.....mpaka niwe 1st runner up!!!!
niliangalia hii nimecheka sina hamu...
angalia then please give me feed back
enjoy
AD.
Kumtamkia kwamba huyu mtoto ni wako.... (although personally sioni kwamba hili ni baya sababu mother wants the best for her child na it will be bad for a child to be a bastard, therefore the motive is good sikatai) lakini it remains this is a bigger lie and its a lie to three people at one time, and am sure hii kitu inaweza ikawa inamuumiza sana huyu mama..
Asante takwambia ningekupa thanks lakini thanks zangu zimepotea sizioni I think ni marekebisho wanayofanya.... I think maybe we have got a few things in common.......π do you read as well... ??
Asante just finished watching its great its funny and coool you have made my day i will just go to bed with a big smile... Je umeshaangalia "How I met Your Mother"... also those nerdy guys "The big bang Theory?" as days go on takutafutia some of my favourites...
Mmh naona mko Off Topic na vichekesho kidogo!I'm a comedy junky myself so ngoja nijiunge... Carlos Mancia is pretty good!Important things with Demitri is always good!Chris Rock is always on top of things!2 and a half man ni nzuri!King of Queens na 3 planet from the sun kwa kicheko cha haja!Bondoocks!Bila kusahau How i met ur mother..Big bang na Scrubs!
I Love stand up comedies and I have watched all from Chris Rock, Eddie Murphy to a guy called Demetri...., I used to watch movies a lot and I read a lot I mean a lot.... I guess you can call me boring although I think am just reserved.....π, I am a guy you give me a book I can live alone in an island without getting bored.[/QUOte
i did nt knw...uko ka mie but commedy sio sanaaaa bt with other movies and books u mit 4get if do exist!
Scrubs!
I Love stand up comedies and I have watched all from Chris Rock, Eddie Murphy to a guy called Demetri...., I used to watch movies a lot and I read a lot I mean a lot.... I guess you can call me boring although I think am just reserved.....π, I am a guy you give me a book I can live alone in an island without getting bored.[/QUOte
i did nt knw...uko ka mie but commedy sio sanaaaa bt with other movies and books u mit 4get if do exist!
I Love Books and I have read a lot...., people who dont read dont know what they are missing......, Even A movie can never beat a Book
Kama nikipewa choice nikipata watoto na tabia ambayo ningependa kuwapa kutoka kwangu ni kusoma vitabu
Na je asipomtamkia?Maana most of the time the man just assumes it is!
hapa tunaongelea kulingana na Society inavyoonesha mambo sikubaliani kwamba vitu vipo sawa...., mfano mtu mfupi haiwezekani mwingine amuone mrefu, au mtoto kuiba sukari hatuwezi kufananisha na mtoto kumtukana mama yake tusi la nguoni...., kwahiyo there is no way kwenye mahusiano ukaniambia uongo ni uongo tu... kumdanganya mwenzako kuwa amependeza wakati hajapendeza sio sawa na kumdanganya mwenzako upo kazini wakati upo nyumba ndogo.....,what is good for me might not be good for u! likewise as to wat i might consider as the biggest lie can just be a daily joke for u.,viwango vya kuhandle issues tunazokutana nazo ni tofauti kati mtu mmoja na mwingine, kusema uongo upi ni mkubwa na upi ni mdogo ni sawa na kusema dhambi ipi kubwa na dhambi ipi ndogo!kudanganywa ni kudanganywa tu
I love Scrubs I think Jamaa anavyowaza kichwani mwake its great and original....., shame hajaweza kufanya vizuri out of scrubs..., Demetri is original I have never seen something like that anywhere je umeona IF I YouTube - Demetri Martin - If I 1 of 6
Hata asipotamka atakuwa anaimply.... lazima in not so many words atasema kwamba huyu ni mwanao