Men Only: Which Bongo Celebrity you'd rather go out with?

Last edited by a moderator:
Nargis Mohamed..Ingawa ameolewa 🙁

Nampenda huyu Mwanamke..Zaidi ya sana..
 
Millard Ayo....ila asije na vya kurekodia...

Ndio maana wabongo mnafeli sana, hamsomi na kuvielewa vichwa vya habari.......imeandikwa MEN ONLY...sasa wewe bibie sijui umekurupuka vipi.......
 
badiebey nadhani kwa kujiamini kwake na kuwa na mawazo huru anaweza kuwa mtu sahihi wa kuongozana nami.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:
Out of curiousity guys, nothing spooky! Which bongo celebrity would u want to go out with?

Me personally ningepata nafasi hiyo ningechagua kutoka na Snura Mushi, this chick is so flirtous and intimate.

Loading.......ila tatizo wengi washachakaa kwa kupgwa ma..mbo
 
Out of curiousity guys, nothing spooky! Which bongo celebrity would u want to go out with?

Me personally ningepata nafasi hiyo ningechagua kutoka na Snura Mushi, this chick is so flirtous and intimate.

Aisee, Komandooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…