UBOHO
Member
- Feb 24, 2012
- 21
- 7
Habari zenu wanaume wenzangu.
Mwenzenu nina tatizo jamani, siwezi kuwa kwenye uhusiano na msichana kwa muda mrefu. Tatizo ni kuwa huwa nawachoka sana wasichana ninaokuwa nao. Sio kwamba ni wabaya au hawaniridhishi, no!Ila nakuwa bored sana nikishakuwa na msichana for months yani sitamani tena ku do nae. Kwa hesabu za haraka haraka nimeshakuwa na wadada 6 tangu nianze hii makitu ila sijawahi dumu miezi 6 ktk mahusiano. Kiumri kwa kweli niko above 30, ila napata was was nikioa nadhani ntamtesa wife.
Wanaume wenzangu, ivi hata wenzangu mko ivyo au ni mimi tu! Napenda sana new relationship ila duh, ikishakuwa na ka mwezi ivi basi hamu yote kwisha kabisa
Ebu wanaume wanishauri nifanyeje nidumu ktk uhusiano. Its serious jamani naombeni nishauri