Men only.

UBOHO

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
21
Reaction score
7
Habari zenu wanaume wenzangu.

Mwenzenu nina tatizo jamani, siwezi kuwa kwenye uhusiano na msichana kwa muda mrefu. Tatizo ni kuwa huwa nawachoka sana wasichana ninaokuwa nao. Sio kwamba ni wabaya au hawaniridhishi, no!Ila nakuwa bored sana nikishakuwa na msichana for months yani sitamani tena ku do nae. Kwa hesabu za haraka haraka nimeshakuwa na wadada 6 tangu nianze hii makitu ila sijawahi dumu miezi 6 ktk mahusiano. Kiumri kwa kweli niko above 30, ila napata was was nikioa nadhani ntamtesa wife.

Wanaume wenzangu, ivi hata wenzangu mko ivyo au ni mimi tu! Napenda sana new relationship ila duh, ikishakuwa na ka mwezi ivi basi hamu yote kwisha kabisa
Ebu wanaume wanishauri nifanyeje nidumu ktk uhusiano. Its serious jamani naombeni nishauri
 
????????????????????????????????????????/
 
Hata mie jina lake limenipekecha macho, Uboho????

Anyway, back to topic
Kuna watu wana tabia za kutanga tanga
Hawezi kaa sehemu, ana kuwa kama unsettled hivi
Labda haka ka tabia kanaenda hadi kwenye mahusiano
Ni aina fulani ya wasi wasi inayotokana na mawazo/depression

Waone wataalam watakusaidia..
 
We unachagua wanawake kwa kuangalia maumbile. There's more to a woman than looks. Hutengenezi bonds kama ni binadamu mwenzioo we unawaza ngono2. We endelea mpaka ufike miaka70 ndo utaelewa na kulea relationshp bado u mdogo sana
 
Hilo jina halina ubaya wowote. Halina maana kama mnayoidhania.

Jifunzeni Kiswahili!!!
Ndio maana kila kukicha ID mpya zinakuja na mambo, hapa tatizo sio mada ulioileta naona tatizo ni ID yako , Umekaa na kutakafakari ya kuwa hii ID ndio inanifaha.
Kwa kuwa kitambulisho chako kinajieleza hivyo ulivyo, hapa watu wakusaidiaje.?

Huu ni mtandao wa kijamii, hivi wazee wetu wakiingia kwenye mtandao na kukuta ID za ajabu ajabu kiutamaduni wa kitanzania sio vizuri.
Nanyi Mods nawaomba ujaribu kuzicontrol hizi ID mpya zinazosajiliwa kila kukicha, sio mtu kasajili leo na leo leo, anaanzisha topic za ajabu ajabu zingine.
 

Sasa unanihubiria hayo yote kwani mimi ndiyo Uboho?

Acha mambo ya kusadiki sadiki. Unajua kabisa kuwa hujui kama mimi ndiye niliyeanzisha mada. Usijifanye wajua wakati unajua fika kuwa hujui.
 
Uboho kwa Kiingereza ni bone marrow. Ule urojo rojo ulioko katikati ya mifupa.

Sasa bone marrow ni tusi?

Hata kama,hiyo haimaanishi kwamba jina lake mtu akilisoma
haraka haraka hata hisi kwamba ni uume.

Kuna maneno mengi sana ya kiingeleza yana maana tofauti katika kiswahili.
Hata kihindi pia kuna maneno ambayo huwezi kuyatumia hapa kama ID
yako then ukasema yana maana tofauti huko India.

Huwezi kujiita "k.u.n.d.u Special" ingawa ina maana tofauti India,...Check Home

Au huwezi kujiita "Kumar" kwenye jamii ya waswahili maana utakua una halalisha matusi ingawa
India ni jina la mtu.
 

Eti nayo hii ID imepita kabisa katika uhakiki wao.
Ikiendelea kukaa hadi juma3 nabadili jina na kuitwa "Kumar" maana kwa wahindi
ni jina halali na maarufu kabisaaaaaaa.
 

Neno Uboho lipo kwenye Kamusi ya Kiswahili Sanifu iliyotengenezwa na TUKI. Na katika fasili yake hawalielezei hilo neno kama tusi.

Tatizo lililopo hapa ni ufahamu wenu mdogo sana wa misamiati ya lugha ya Kiswahili.

Kiingereza hamjui. Kiswahili hamjui. Mpo mpo tu kama mapopo. Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…