Men only.


Unazima moto kwa petroli,.................
Nimeomba kubadili jina kama lako hili halina tatizo.

Nitaitwa KUMAR kama hawata badilisha lako kisha tuone wageni
wa JF wataionaje JF wakisoma comment za UBOHO na KUMAR.
 
Mods please,Mbadilishieni jina huyu chalii.....
Sijui form 3..............duh

Mh, kweli kua uyaone. Speaker kiswahili kinakushinda? Sijawahi ona, ivi humu MMU ina maana wewe tu ndo hujui maana ya uboho au umeamua tu kuanzisha mabishano? Kama vipi tuanzishe jukwaa la lugha ua kiswahili humu ili tuelimishane mana mashuleni hatukuipata ipasavyo.
 

Kwani wadada sita(6)_kwa umri wa miaka above 30,...mbona kidogo saaaaana,...hiyo ni size ya mtu mwenye experience ya mwaka mmoja katika mambo haya....kwa hiyo mimi sioni tatizo lako hapa.
 
Hebu mpeni ushauri maana hawa ndio wanaoharibu ndoto za watu, utakuta ana watoto kila mmoja ana mama yake na umri unakaribia miaka 40 alafu unafanya mambo ya vitoto vya secondary ******* sana

Aendelee tu kungonoka sana,............UKIMWI umeenda likizo na
watanzania wamekuwa GENIUS na WAMEPATA CHANJO YA ukimwi.

Sifa za kijinga kabisa,....jina chafu,.........mawazo machafu,.........matendo yananuka duh...
 

Kua dogo,.........acha kuendekeza ujinga.
 
Na Uboho kwa kiswahili ni kiungo cha siri cha mwanaume.

Jamani kiungo cha manaume sio UBOHO, hakuna H! Unatamka zile OO mbili mwisho!Hee! Mbona ivyo. Usipoanza na U ukaanza na M katika kutaka icho kiungo cha mwanaume inakuwaje hapo?Michael naomba jibu basi.
 
Mkuu kumbe unakaa nao kwa miezi? Wenzio hudumu nao kwa masaa tu!
 

So,UME PANDIKIZA watoto wangapi?
Ushawahi ongea na wazazi wako kuhusu tabia yako?
 
Eti nayo hii ID imepita kabisa katika uhakiki wao.
Ikiendelea kukaa hadi juma3 nabadili jina na kuitwa "Kumar" maana kwa wahindi
ni jina halali na maarufu kabisaaaaaaa.

We speaker vipi bana, kama hamjui kiswahili muwe mnauliza ushaambiwa uboho ni borne marrow kwa kiingereza, umeshikilia Kumar, na hiyo Kumar yenyewe wahindi wanatamka Kumariii kwa hyo haita-sound kama K*ma hata kama ukiamua kuitumia kama ID yako. Zaidi UBOHO ni neno halali kabisa la kiswahili ambalo halina uhusiano wowote na kiungo cha uzazi cha mwanaume.
 
Aendelee tu kungonoka sana,............UKIMWI umeenda likizo na
watanzania wamekuwa GENIUS na WAMEPATA CHANJO YA ukimwi.

Sifa za kijinga kabisa,....jina chafu,.........mawazo machafu,.........matendo yananuka duh...

Afadhali yangu nimesema tatizo langu nipate ushauri ili nibadilike, I hope hayo kwenye bold ni reaction ya ID yangu. Pole inaelekea nimekuchafua jioni hii
 
Sa ujinga na udogo uko wapi hapo? Dah, basi Mkuu samahani inaelekea ID yangu iekukwaza sana. Ntafanya mpango niibadilishe

Ujinga ni kuendekeza ngono!
Well,mwenzako alisema ujinga sio tusi eti?

Udogo unatokana na hali yako,kumchoka mtu baada tu ya ku-do nae
ni hali inayo watokea teens walio anza kucheza michezo ya wakubwa
huku wakitaka kila kichaka wakojoe,..........

Dawa yake?
Kuwa na hofu ya Mungu (the fear of God) hautafanya hayo yote.

Kila kitu tunacho fanya binadamu kinaanzia kwenye mawazo,.....kampani yako,....unacho angalia
mara kwa mara,....stori unazo piga mara kwa mara etc.

Asante sana,badili aisee niko radhi kukuchagulia jina.
 

Haha,sijui uta mshauri nini huyu kijana.
Maana jina lako na tabia yake vinaendana zaidi utamchochea huko huko tu.

Kuhusu UBOHO,.....forget it.
 
Afadhali yangu nimesema tatizo langu nipate ushauri ili nibadilike, I hope hayo kwenye bold ni reaction ya ID yangu. Pole inaelekea nimekuchafua jioni hii

Toka kwenye comment zako naona kabisa
"Wewe halisia" haufanani kabisa na tabia hizo.....

Lakini kama ulivosema,kuwaambia watu kuhusu tatizo lako ni mwanzo wa kulitatua.
Ila jina lako lime nikwanza,....nita ku-PM zaidi kesho.I promise.
 


Asante mwanaume mwenzangu kwa kumuelimisha Speaker.
 
Haha,sijui uta mshauri nini huyu kijana.
Maana jina lako na tabia yake vinaendana zaidi utamchochea huko huko tu.

Kuhusu UBOHO,.....forget it.
Huyo dogo hana tatizo lolote, hizi mambo anazopitia ni kawaida tu..........Wewe mwenyewe angalia anagonga 30 amewahi kuwa na totoz 6 tu halafu eti naye anajiona ana matatizo ya kupenda totoz!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yaani yuko Ok bin Fine, Kuna watu wakiwa 25 unakuta wana msururu wa totoz kama 50 hivi.

Kuhusu hiyo ID yangu isikupe presha, nishastaafu hizi habari ila si unajua legacy(Mkuu Bwa'Nchuchu nisaidie kiswahili chake hapa) huwa haiishi siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…