Men only.

In short, wewe ni miongoni mwa wale ambao wame andikiwa kuhanja maisha.

Tafakari na uji sahihishe mapema. Only the truth will set you free from your bad habits.
 
Hii inaonyesha ni kwa jinsi watu wanafikilia kwa kutumia masaburi! Yani uboho bado mnawaiwasi nao? Kila mtu ana uboho ndani ya mifupa
 
Though still having adolescent mind irrespective Of ur age,
there is a huge scientific reason behind this:
MOST MEN ONCE HAD SEX WITH WOMAN, the desire / sexual feelings decrease, kwanza ur sure umempata na utampata ukitaka, so pressure inapungua, pili: ulichokipata i.e sex hazikukidhi feelings za men before sex na mwanamke fulani au during sex mwanaume akajua ww sio msafi from mswaki, mwili, uchi, au hujui mapenzi vyote huua hisia na kusepa, ila adolescent ni kawaida ku hit & run

 
Si kila mwanaume anatabia kama yako.we unadhani wote wanatangatanga?
Alafu wewe ni kubwa jinga,haujui ulifanyalo na nina uhakika haukumaliza hata elimu ya msingi.unatumiaje ID tata (yenye maana zaidi ya moja) kwan ID zimekwisha mpk utumie ambayo unafahamu italeta utata huku jf?au unadhani watu tupo hapa jf kwa ajili ya commed?wacha utoto,fanya mambo yanayolingana na umri wako.

Anyway,back to topic.wewe unasumbuliwa na jini mahapa na mapepo ya uzinzi,tiba yake ni kuwahi kwenye maombi bse utatafuta ya mwilini sana alfu utaiangamiza roho yako.Nenda kaombewe MUNGU akufungue kutoka ktk vifungo vya kuzimu na kutumikishwa na shetani bila kujitambua.
 
miaka 30, madada 6, maximum miez 6, so 30-(6*6)/12===>27
Umeeanza ukiwa 27, so ni stage ya kawaida ya ukuaji.

Ukikuwa ki mahusiano utajua mahusiano ni zaidi ya ngono, na utampata life partner, kila la kheri katika hatua za ukuwaji kimahusiano
 
kasome "Theory of Diminishing Marginal Utility"
 
Ilo jina lako mh!!!.... mi nadhani ni sababu tosha ya kutodumu na wanawake.

Unajua kitu kinachoitwa "bone marrow" ..? Hiyo ndiyo tafsiri yake kwa kiswahili..

Siku moja agizia kongoro aina ya bomba.. Utajua na kuona uboho liiiive!
 
Dah mods wamempa ban huyu jamaa.......itabidi na mimi niandamane hadi wanipe ban. Hivi UBOHO kakosa nini hadi mmemtandika ban bana.......Mtoe maelezo hapa maana sasa hii ni too much.
 
sio bure utakuwa na pepo fuska unaelekua kubaya watakutaman na wewe!
 
sio bure utakuwa na pepo fuska unaelekua kubaya watakutaman na wewe watakutoboa na kukuchoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…