Men only!!

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,266
Reaction score
1,264
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?
 
Hii ndo JF bana...majibu atakayopata humu ndo ataamua amchukulie hatua gani huyo mwanamume wake...

akili ya kupewa changanya na yako
 
Huyu anakula, anshba na hana tatizo lolote (madeni n.k) halafu akae miakaa 3 bila sex?? Hapana hili ni tatizo la kisaikolojia, HAIWEZEKANI.
Kuna wengine hata kukaa siku mbili achilia mbali wiki haiwezekani - mimi nikiwa mmoja wapo.
 
Inawezekana kabisa
Ila ukitaka fanya hivi
Hakikisha una deep freeza

Kabla ya kutoka ndani unaigandisha
Hadi iyeyuke utakuwa usharudi home
 
Though ni ngumu ila kwa upande mwingine kuna mazingira ambayo unaweza kudumu
Ila ngumu sana kuvumilia
 
Hii ndo JF bana...majibu atakayopata humu ndo ataamua amchukulie hatua gani huyo mwanamume wake...

akili ya kupewa changanya na yako

Nani tena? Me sio mwanamke bana
 
MBONA mapadri na mabruda wanakaa kwa lifetime yote bila kufanya!

Waulize wale masista wa Parokia, hivi huwezi kujuliza vile vituo vya watoto yatima kwa nini huwa kwenye enclosure ya Parokia mfano pale Msimbazi Centre?
Kuna uvumi kwamba wale watoto ni products za flirting between nuns and priests, once wazaliwapo mama mzazi aanapigwa transfer na kitoto kinapelekwa kwenye centre zao.
 
Why not?? Inawezekana....

Kweli jamani tuwe wakweli!Miaka 3 ni sawa na siku 1095. Wakuu ivi kweli inawezekana hii kitu, na kila siku ukipita kitaa unaona vitu tofauti, dah!Mi nadhani its not possible.
 
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?

Kama wewe huwezi,usidhani na wengine,ama wote hatuwezi... Udhaifu wako huo usitushirikishe kana kwamba ni kitu cha kawaida...
 
Huyu anakula, anshba na hana tatizo lolote (madeni n.k) halafu akae miakaa 3 bila sex?? Hapana hili ni tatizo la kisaikolojia, HAIWEZEKANI.
Kuna wengine hata kukaa siku mbili achilia mbali wiki haiwezekani - mimi nikiwa mmoja wapo.

Bora umekuwa mkweli mkuu.Mi najua wanawake wana uwezo huo ila wanaume HATUNAGA
 
Ushahidi unao?
 
sina hakika na hilo may b ana matatizo ya ki psychology .......
 
Though ni ngumu ila kwa upande mwingine kuna mazingira ambayo unaweza kudumu
Ila ngumu sana kuvumilia

Hapo bold, mi nadhani ni kwamba HAIVUMILIKI kabisa!Labda Ufanye as Kongosho said, Uigandishe kwenye deep freezer kila siku.
 
Kumbe mnatudanganya eeeh eti nina miaka mitano i love u so much
wizi mtupu ngoja
 
wacha matani bana inawezekana kabisa....mie nikiwa mmoja wapo. i just havent found the right woman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…