ulivyo mchana ikawaje sasa, alikuelewa au ndo ile!Mkuu hamna mtu anaweza kuamini hii story, ila Mimi na ndugu yang na demu mwenyewe, nakumbuka siku niliyomchana ukweli nilikuwa nimelewa afu Niko kwenye shughuli ya send off pale diamond jubilee nimeenda nae
Alienda mahali akakaa ananiangalia tuu, mi nikaendelea kuzuga Mara nnaita demu mwisho akaamini siyo Mimi, siku niliyokuja kumwambia nilikuwa mimi aliumwa tumbo, kichwa kila kitu mda huo huo afu tulikuwa kwenye send offulivyo mchana ikawaje sasa, alikuelewa au ndo ile!
na mliachanaje sasa baada ya wewe kumwambia umerudi kutoka safari.Nakumbuka 2015, nilikutana na mrembo mmoja pale samaki samaki m'city, nikiwa nnatoka namuona demu kakaa chini anaongea na na simu huku analia nikaona nimuulize tatizo nini hakujibu nikampa business card ya ndugu yangu baada ya kugundua kuwa sikubeba zangu, afu nikampigia kumwambia kuna mtu atakupigia
Kweli baada ya wiki akampigia jamaa akam direct kwangu, baada ya wiki tena tukawa wapenzi, sasa changamoto ukawa ni distance yeye anaishi na kusoma TIA mimi mbezi beach, hata tukitoka lazima nimrudshe temeke iwe asubh iwe usiku...kuna weekend moja akataka tutoke nikaona atanitesa tuu mpaka temeke na kurudi, hataki taxi bwana ake ana gari...nikamwambia nnasafiri naenda Comoro tena mpaka jioni nikamuaga kabisa ndio napanda ndege [emoji23]
Usiku nikaona ngoja niende next door club, nimefika nimepiga bia 2 bado mkavu kabisa naguswa bega P, vipi lahaulaa demu wangu huyu hapa, nilichange ghafla nikamuuliza tunafahamiana?
Demu: we si P?
Me: hapana umenifananisha mi Bryan
Demu: acha utani. P
Me: Mimi cyo P afu wewe siyo wa kwanza kunifananisha na Huyo MTU anaitwa P, anyway sio mbaya ukinifabya niwe P kwa usiku huu
Demu: basi samahan kaka umefanana naye kweli
Akaondoka...kaenda kukaa mahali kaniangalia usiku mzima na Mimi kuua soo nikawa namzingua malayah flan huku nnamchunguza nyendo zake,
Asubuhi nakuta text, "Babe ulifika salama Jana nimekutana na mtu mnafanana balaa..." Nikajisemea P natakiwa kuwa tapeli ndio kipaji changu...
Tulikuja kuachana nikamwambia ile Siku ilikuwa ni Mimi...hajawah kujibu tena text zangu
Hataree duuuh bazazi weweNakumbuka 2015, nilikutana na mrembo mmoja pale samaki samaki m'city, nikiwa nnatoka namuona demu kakaa chini anaongea na na simu huku analia nikaona nimuulize tatizo nini hakujibu nikampa business card ya ndugu yangu baada ya kugundua kuwa sikubeba zangu, afu nikampigia kumwambia kuna mtu atakupigia
Kweli baada ya wiki akampigia jamaa akam direct kwangu, baada ya wiki tena tukawa wapenzi, sasa changamoto ukawa ni distance yeye anaishi na kusoma TIA mimi mbezi beach, hata tukitoka lazima nimrudshe temeke iwe asubh iwe usiku...kuna weekend moja akataka tutoke nikaona atanitesa tuu mpaka temeke na kurudi, hataki taxi bwana ake ana gari...nikamwambia nnasafiri naenda Comoro tena mpaka jioni nikamuaga kabisa ndio napanda ndege [emoji23]
Usiku nikaona ngoja niende next door club, nimefika nimepiga bia 2 bado mkavu kabisa naguswa bega P, vipi lahaulaa demu wangu huyu hapa, nilichange ghafla nikamuuliza tunafahamiana?
Demu: we si P?
Me: hapana umenifananisha mi Bryan
Demu: acha utani. P
Me: Mimi cyo P afu wewe siyo wa kwanza kunifananisha na Huyo MTU anaitwa P, anyway sio mbaya ukinifabya niwe P kwa usiku huu
Demu: basi samahan kaka umefanana naye kweli
Akaondoka...kaenda kukaa mahali kaniangalia usiku mzima na Mimi kuua soo nikawa namzingua malayah flan huku nnamchunguza nyendo zake,
Asubuhi nakuta text, "Babe ulifika salama Jana nimekutana na mtu mnafanana balaa..." Nikajisemea P natakiwa kuwa tapeli ndio kipaji changu...
Tulikuja kuachana nikamwambia ile Siku ilikuwa ni Mimi...hajawah kujibu tena text zangu
Yeah ze skuli bashi is I nia , so donti leti him bash yeu now, nipo kwa rasi simba najifua dadeqJust happened, & its a tale now
Si ndio hapo..si kweliHiv kwel mtu ulielala nae,dem wako,ukamkana kua sio wew na akakubali,..haiingii akilin
.perhaps i shudnt b thoughtful