Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Huu uzi ni special kwa men tu hivyo kama wewe ni girl pita mbali kwa speen ya jet. Girls unaruhusiwa kusoma lakini si kuchangia.
Baada ya kutoa utangulizi.Mambo vipi wanaume wenzangu.Husika kichwa tajwa hapo juu,Ni kweli tunakutana na changamoto mbaimbali kabla ya kupiga moyo konde kwenda kurusha ndoana bahari ili uvuwe samaki.Kabla ya kunyanyua hatua hata moja kwende kutema sumu vichwani kunakuwa na mgongano mkubwa wa mawazo.Wazo linaloshinda huwa ndo mwamuzi wa mwisho yaani kwenda kutongoza ama laaa.
Sasa kabla ya chochote kuanza tuambiane hapa huwa unazingatia vigezo gani hadi umtongoze.Najuwa tunatofautiana interest lakini kubadiliahana uzoefu sio zambi.Noted;,Wengi wetu vigezo vinatusumbuwa so ukifunguka basi funguka kutoka moyoni.
Karibuni