MEN TALKS; unaangalia vigezo gani kabla kutongoza.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Huu uzi ni special kwa men tu hivyo kama wewe ni girl pita mbali kwa speen ya jet. Girls unaruhusiwa kusoma lakini si kuchangia.

Baada ya kutoa utangulizi.Mambo vipi wanaume wenzangu.Husika kichwa tajwa hapo juu,Ni kweli tunakutana na changamoto mbaimbali kabla ya kupiga moyo konde kwenda kurusha ndoana bahari ili uvuwe samaki.Kabla ya kunyanyua hatua hata moja kwende kutema sumu vichwani kunakuwa na mgongano mkubwa wa mawazo.Wazo linaloshinda huwa ndo mwamuzi wa mwisho yaani kwenda kutongoza ama laaa.

Sasa kabla ya chochote kuanza tuambiane hapa huwa unazingatia vigezo gani hadi umtongoze.Najuwa tunatofautiana interest lakini kubadiliahana uzoefu sio zambi.Noted;,Wengi wetu vigezo vinatusumbuwa so ukifunguka basi funguka kutoka moyoni.
Karibuni
 
Mimi kwa upande wangu ni Tabia nzuri halafu vingine vinafuata
 
Hebu wakongwe anzen tupeane uzoefu. "Utu
Uzima dawa".
 
hakuna kigezo maalumu, nikiona mwitikio chanya najitupia.

mambo ya tabia nayafatilia sa ngapi ikiwa makutano yetu ni kwenye daladala, njiani na mfanano wake.

ila usafi na kunukia kunanivutia mapema
 
Nachek mwonekano,nalinganisha anapoishi mavazi anayovaa na simu anayotumia...
 
Nimefungua huu uzi nimekutana na bonge la tangazo "find a reliable Japanese used track"....ikabidi niingie kwenye huo mtandao kwanza ndiyo nirudi hapa.

Well, binafsi naangalia kitu kimoja tu.

Energy.

Does she make me feel warm inside?

I'm very intuitive person, you don't need to introduce yourself....your energy does.

Yeyote ninayehisi amani kuwa karibu naye huyo ndiye nayempenda kwa dhati kabisa.

Kamwe siwezi kuanzisha uhusiano na mtu ninayejua ana vibrate low......hii unatambua kwasababu ukiwa na baadhi ya watu unaona kabisa wananyonya energy yako.

I stay close to people who feel like sunshine
 
Mrefu, macho makubwa, kifua cha wastani, mweupe, lips nene kidogo zenye kuvutia, mzigo wa haja, sauti ndogo ya mahaba, akitembea atingishike nyuma, hips za wastani, tumbo dogo lisiwe la mchemsho, miguu midogo, nywele za asili ndefu kidogo,mat*ko ya duara yasiwe kama mapapai ya njombe, awe anajua kudeka, mwenye aibu kidogo n.k. Ndo maana sina mademu wengu, niko too selective wakuu..
 
Vigezo vinategemea ntu na ntu. Mi kwangu kwanza kabisa muitikio wa vichocheo, yaani lugha za mwili zaidi kuliko za maneno. Pili rangi natural, tatu asiwe mzigo yaani awe msumari.
Sijui unanisoma?
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…