Men walianzisha Mashindano ya Urembo/Umiss ili iwe rahis kujichagulia

Men walianzisha Mashindano ya Urembo/Umiss ili iwe rahis kujichagulia

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Nmewaza sana asubuh hii...
Hiv unajua sis wanaume ni watu wabaya sana.

Tuka ya legalize kabisa yan..dah

Uzi imeandikwa baada ya kupishana na Aliyekuwa Miss Tz mwaka flan hapa kwenye mataa ya St peters..aisee wakubwa wanafaid sana daaah..hiv huyu hata jua linamjua kwel huyu...af ni mzur hatar..

Mbona ma miss wa zaman walikua wazur sana.haka zeeki kabisa

Uzi tayar
 
Back
Top Bottom