Men Will Always Be Men...

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Lugha ya kichwa cha uzi inanasibu...

Leo nilikuwa kwenye kijiwe changu cha kustaafia, Kasinde Juice Shop.

Akaja mdada mmoja nikawa nachukua ladha za matunda anayotaka nimsagie juice....

Kumbe alikuwa na mume wake, alikuwa amesimama kwa mbali nyuma. Kabla hajasogea mahala nilipo na mkewe akiwa kule nyuma alijaribu kuonesha lugha ya picha kama kunisemesha kwa codes huku mkewe akiwa amempa mgongo.

Nikampiga jicho paap nikarudi kukonsetreti na oda ya mteja wangu ambae ni mkewe. Nikainua tena jicho naona macho yake na mikono vinanisemesha....

Siku respond chochote, nikageuka kutengeneza juice na ilipokuwa tayari nikampa mkewe. Wakati nampa, ilikuwa take away akaja. Akanisalimia kwa bashasha na kuanza kujisemesha...

Huyu ni mke wangu, ndo waziri wa mambo ya ndani wangu, sifurukuti kwake. Akisema leo hutoki natii, akisema usalama mdogo tutoke hapa natii.....!

Nikatabasamu na kumwambia am happy for you, you have a cute and humble wife.

Kisha nikawatakia weekend njema na nikaendelea na wateja wengine.

Men....!

Hat and pen down.

Picha za uzi kesho. ☺️


Kesho yw jana ndo leo...☺️.
 
Jama kakuelewa sana. Nawe bila shaka umemuelewa na utakuwa mambo yaliharibika baada ya kuja kukusalimia.
 
Kijiwe chako cha kustaafia kiko wapi nije nikuungishe?
 
Kijiwe chako cha kustaafia kiko wapi nije nikuungishe?

Nisamehe ila naomba nirekebishe kauli yako kwa nia njema tuu na wala si majivuni.

Ukija kijiwe changu uje kwa nia ya kupata huduma ya Juice asilia na si kuniungisha.

Kijiwe kiko njia ya kwenda Chuo kikuu.

Karibu sana.
 
Najua huyo mjuba alikutolea udenda mbele ya waziri wake wa mambo ya ndani kwao.

Atarudi tena kukamilisha tamaa yake.

#wanaume mbinu zetu tunazijua wenyewe 😍

Umesema ukweli hakika....

Nashukuru Lizzy ameshanipa jibu mujarabu la kumpatia akirudi mwenyewe.... ☺️

For sure men you’ll remain men.
 
Jama kakuelewa sana. Nawe bila shaka umemuelewa na utakuwa mambo yaliharibika baada ya kuja kukusalimia.

Yeyr kunielewa yaweza kiwa kweli...

Mimi kumuelewa hapana....

Mambo yalikuwa bambam, hayakuharibika popooteeee.....
 

Kamata Mwizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…