Mnaona pana ujaji hapo ,hilo kosa ni kubwa sana ila jaji kwa kutumia mahesabu yake na kumwambia mteja kuwa ,,,kosa lako unaweza kukaa jela si chini ya miaka 25 ,ila kwa tulivyoelewana nimeipunguza na nitaifanya iwe mitano tu ,na tukitoa siku za mapumziko na sherehe basi inaweza ikafika mitatu ,lakini nitaitangaza mitano haya mapunguzo mengine ni baada ya kufika huko jela ,ila usije ukaanguka ukisikia nimekutangazia miaka 250 jela ,e bwana tuna mipango yetu ya kusaidiana ,hivyo miaka mitano si mingi ni kipindi kimoja tu cha utawala wa Sultani CCM.Na vilevile itasaidia kuficha mambo yetu isionekane tunamambo fulani fulani.