Meneja masoko TFF mzigo

Meneja masoko TFF mzigo

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Kwenye kipindi cha Asubuhi TBC kulikua na mahojiano ya wageni wawili, Meneja masoko TFF (Mr. Nyanda) na Mtaalamu wa N Card.
Sasa kimbembe kikaanza jamaa wa masoko anaulizwa umeiuzaje mechi ya TFF naanza kusema ooh tumezindua jezi...
akaulizwa mpaka sasa mmeuza jezi kiasi gani, akasema tusubiri mechi ipite jumatatu watakuja na data[emoji23][emoji23][emoji23]

Swali nalojiuliza unakosaje data, wenzetu nchibzilizo endelea hata data za lisaa unapata
Pia iko wazi kashindwa kuiuza timu kwa mashirika na makampuni, na kama anashindwa kuhamasisha mashirika makampuni ya jiunge na timu ya taifa anafanya kazi gani... wafadhili wa Taifa stars bado ni walewale kwa miaka yote ambapo pengine sio yeye alie waleta
Timu za taifa hasa za wanawake na za vijana hazina wafadhili anafanya mini hapo TFF

TFF sio kichaka cha kutafuna pesa Karia na watu wako mnisome.
 
Mbona national team ina udhamini wa almost 0.8bilion
Mauzo ya jezi Tz ni kimbembe
 
Back
Top Bottom