Meneja Mpya wa Harmonize Kajala Adaiwa Kumuondoa Mjerumani Konde Gang

Meneja Mpya wa Harmonize Kajala Adaiwa Kumuondoa Mjerumani Konde Gang

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paula kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty Mmari almaarufu Mjerumani anadaiwa kufungasha virago.

Katika ukurasa wake wa Instagram, Mjerumani ameondoa utambulisho wa kuwa yeye ni meneja katika lebo hiyo ya Konde Music Worldwide; kwa kifupi Konde Gang.

Jambo hilo limeacha maswali kwa wadau mbalimbali wa muziki kuwa huenda akawa ameachana na lebo hiyo rasmi baada ya utambulisho wa Kajala.

Screenshot_20220610-110713_Chrome.jpg
Screenshot_20220610-111019_Chrome.jpg
 
Masikini mkidaiwa mnajifariji eti hata matajiri wanadaiwa nitajie tajiri anaedaiwa,,

Nchi Kama marekani inadaiwa na Nani? Elon musk anadaiwa na Nani? Lipa madeni ya watu
Mkuu madeni ndio maisha, hata hao matajiri kama kina Mo wana madeni,

Ukijiona huna madeni basi tambua kua una tatizo.

Hapa siongelei madeni ya Buku mbili au deni la kilo moja ya Sukari.
 
Duh [emoji849] kanowa kweli kweli walahi !
Unamtoa mchaga na kumuweka chasaka, ameanguka mzima mzima walahi [emoji33]
 
Na hii kusema matajiri kina Mo Dewji wana madeni ni story za vijiweni.
kwa kukusaidia tu, hata bakhresa na utajiri wake wote, hotel verde iliyopo znz ambayo anaimiliki, sehemu ya fedha ya ujenzi wa hotel hiyo, alikopa kutoka axim bank.
 
Masikini mkidaiwa mnajifariji eti hata matajiri wanadaiwa nitajie tajiri anaedaiwa,,

Nchi Kama marekani inadaiwa na Nani? Elon musk anadaiwa na Nani? Lipa madeni ya watu
USA anadaiwa na china
Anadaiwa russia Saudis

Elon musk anadaiwa bank of America huko bank za kina Barclay's nk
Mo anadaiwa mpaka mwenyewe alikir
 
Back
Top Bottom