EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mjeruman alikua ana partner na jembe ni jembe so inawezekana harmonize kamaliza deni la jembe ni jembe ndo mana yuko free sasa
Mkuu madeni ndio maisha, hata hao matajiri kama kina Mo wana madeni,Sasa yeye kila siku ni madeni tu?
Mkuu madeni ndio maisha,hata hao matajiri kama kina Mo wana madeni,
Ukijiona huna madeni basi tambua kua una tatizo,
Hapa siongelei madeni ya Buku mbili au deni la kilo moja ya Sukari.
Endelea kuamini unachokiamini But tambua kua matajiri wengi hua wanapo invest hua wana invest kwa hela ya mkopo, ni matajiri wachache sana wanaoweka hela zao direct.I'm free of credits na sina tatizo. Na hii kusema matajiri kina Mo Dewji wana madeni ni story za vijiweni.
Hiyo marekani yenyewe km nchi Ina madeni,we unashangaa mo kudaiwa!?I'm free of credits na sina tatizo. Na hii kusema matajiri kina Mo Dewji wana madeni ni story za vijiweni.
Noma sana!Endelea kuamini unachokiamini But tambua kua matajiri wengi hua wanapo invest hua wana invest kwa hela ya mkopo, ni matajiri wachache sana wanaoweka hela zao direct.
Inawezekana unabishana na mtu anayesubiri chai kwa shemeji yake.Hapo anaandika akiwa na remote anasubiri marudio ya Tamthiliya.Endelea kuamini unachokiamini But tambua kua matajiri wengi hua wanapo invest hua wana invest kwa hela ya mkopo, ni matajiri wachache sana wanaoweka hela zao direct.
Mkuu madeni ndio maisha, hata hao matajiri kama kina Mo wana madeni,
Ukijiona huna madeni basi tambua kua una tatizo.
Hapa siongelei madeni ya Buku mbili au deni la kilo moja ya Sukari.
Kuna msemo unasema "kama hudaiwi wewe ni mjinga."Masikini mkidaiwa mnajifariji eti hata matajiri wanadaiwa nitajie tajiri anaedaiwa,,
Nchi Kama marekani inadaiwa na Nani? Elon musk anadaiwa na Nani? Lipa madeni ya watu
Endelea kula maisha ya bure hapo kwa Dada yako,ukikua na kuanza kujitegemea utakuja kukumbuka hii comment.Masikini mkidaiwa mnajifariji eti hata matajiri wanadaiwa nitajie tajiri anaedaiwa,,
Nchi Kama marekani inadaiwa na Nani? Elon musk anadaiwa na Nani? Lipa madeni ya watu
Labda we ndo dada anguEndelea kula maisha ya bure hapo kwa Dada yako,ukikua na kuanza kujitegemea utakuja kukumbuka hii comment.
Endelea tu kufakamia ugali wa shikamoo,siku ukitoka usingizini utajua kua maisha ni nini.Labda we ndo dada angu
kwa kukusaidia tu, hata bakhresa na utajiri wake wote, hotel verde iliyopo znz ambayo anaimiliki, sehemu ya fedha ya ujenzi wa hotel hiyo, alikopa kutoka axim bank.Na hii kusema matajiri kina Mo Dewji wana madeni ni story za vijiweni.
USA anadaiwa na chinaMasikini mkidaiwa mnajifariji eti hata matajiri wanadaiwa nitajie tajiri anaedaiwa,,
Nchi Kama marekani inadaiwa na Nani? Elon musk anadaiwa na Nani? Lipa madeni ya watu