saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Tangia saa 2 asubuhi leo huku Halmashauri ya wilaya ya Meru TANESCO wamekata umeme mpaka sahizi. Kwanini umeme ukatwe kwanza bila taarifa? Na mpaka sahizi?
Kuna tatizo gani. Kwanini Huu utaratibu usio wa kistaarabu? Huyu meneja wa TANESCO wilaya ya ARUMERU afuatiliwe, kama vipi akae pembeni
Kuna tatizo gani. Kwanini Huu utaratibu usio wa kistaarabu? Huyu meneja wa TANESCO wilaya ya ARUMERU afuatiliwe, kama vipi akae pembeni