Meneja Tanesco Karatu jiuzulu

Meneja Tanesco Karatu jiuzulu

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Imekua kero umeme Karatu mjini upo huku Endabashi mnakata hovyo na mnatuunguzia vifaa.
Achia ngazi waje wanaoweza unakiangusha chama cha CCM
 
Kila siku mnakata umeme na wakati lengo la nchi ni kuuza umeme nje
 
Sitaki kujiuzuru na ukizudi umbea shoti za mdomo zinakuhusu!
 
Inasikitisha sana wanasababisha hasara kubwa
 
Swala la umeme ni kila kona.

Wanachezea switch kama watoto wa kindergaten
 
Huku imekua Kero mno.Wameniunguzia flat yangu ya mkopo.imeniuma sema sina pa kushitaki mwalimu daraja la mwisho
 
Back
Top Bottom