Uchaguzi 2020 Meneja Tehama Clouds Media achukua fomu CHADEMA kuwania Udiwani

Uchaguzi 2020 Meneja Tehama Clouds Media achukua fomu CHADEMA kuwania Udiwani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Meneja wa Tehama pale Clouds Media, Stanley William amechukua fomu za kugombea Udiwani kata ya makongo kupitia chama cha CHADEMA

Naye mtangazaji Tupatupa amechukua fomu za kugombea udiwani kata ya Mbezi juu kwa tiketi ya CCM.

Chanzo: Clouds tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Meneja wa Tehama pale Clouds Media, Stanley William amechukua fomu za kugombea Udiwani kupitia chama cha CHADEMA

Naye mtangazaji Tupatupa amechukua fomu za kugombea udiwani kata ya mbezi juu kwa tiketi ya CCM.

Chanzo: Clouds tv

Maendeleo hayana vyama!
Mzee mbeya sana wewe
 
Kuchukua fomu za Chadema ktk uchaguzi huu ni upuuzi? Chadema wana kazi sana ktk uchaguzi huu.
Na wanaochukua fomu kupitia chadema mwaka huu ni wapinzani wakweli kabisa waangaliwe kwa mtazamo wa kimapinduzi...sio huo utitili njaa wa ccm ...lao ni kutaka magufuli awaibie kura tu,ebooooo!
 
Uchaguz wa mwaka u tutaon mengi ya kushangaza kwel maan kila m2 anaitaji uongoz jiuliz kidg je tunawez kuongoz am utakuw uchaguz fashion
 
Back
Top Bottom