johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani kuwa Chadema ni dhambi?Wapuuzi hao wanataka ionekane hawaegamii CCM, mchezo wa kijinga huo.
Hapana...Kwani kuwa Chadema ni dhambi?
Kuchukua fomu za Chadema ktk uchaguzi huu ni upuuzi? Chadema wana kazi sana ktk uchaguzi huu.Wapuuzi hao wanataka ionekane hawaegamii CCM, mchezo wa kijinga huo.
Mzee mbeya sana weweMeneja wa Tehama pale Clouds Media, Stanley William amechukua fomu za kugombea Udiwani kupitia chama cha CHADEMA
Naye mtangazaji Tupatupa amechukua fomu za kugombea udiwani kata ya mbezi juu kwa tiketi ya CCM.
Chanzo: Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Hutaki kubalance!Mzee mbeya sana wewe
Kugombea udiwani ni newsworthy?Hahahaaaa...... Hutaki kubalance!
Waulize wafipa wenzio kwanini wanatoa fomu za kugombea udiwani!Hadi kugombea udiwani nao umeona ni newsworthy?
Na utakuta amejiunga CHADEMA online jana jioni au leo Asubuhi!!!Wapuuzi hao wanataka ionekane hawaegamii CCM, mchezo wa kijinga huo.
Na wanaochukua fomu kupitia chadema mwaka huu ni wapinzani wakweli kabisa waangaliwe kwa mtazamo wa kimapinduzi...sio huo utitili njaa wa ccm ...lao ni kutaka magufuli awaibie kura tu,ebooooo!Kuchukua fomu za Chadema ktk uchaguzi huu ni upuuzi? Chadema wana kazi sana ktk uchaguzi huu.
Kumbe!Na utakuta amejiunga CHADEMA online jana jioni au leo Asubuhi!!!
Kabisa michezo ya kitoto sanaWapuuzi hao wanataka ionekane hawaegamii CCM, mchezo wa kijinga huo.
Na wee mzaramo mwanaume mzima domo bakuli hutaki kupitwa na umbeya wowote mtaaniWaulize wafipa wenzio kwanini wanatoa fomu za kugombea udiwani!
Manka siye wazaramo umbeya ni jadi yetu kama nyie mnavyokunjwa mbege na damu za ng'ombe!Na wee mzaramo mwanaume mzima domo bakuli hutaki kupitwa na umbeya wowote mtaani