Meneja vs Wakala

Meneja vs Wakala

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Habari wanamichezo.

Nini tofauti kati ya Meneja wa mchezaji na Wakala wa mchezaji?

IMG_20220617_111513.jpg
 
Nijuavyo mimi Darasa la 4b ni kwamba Meneja jukumu lake Kukuandaa katika kila hitaji lako la msingi na kukugharamia. Ni Kama Wewe ni Roboti lake na hakuna mtu atakuwa na Mamlaka Juu yako kuhusu jambo lolote analokusimamia bila ya kupitia kwake!

Wakala Hana Tofauti na Dalali anayopewa kazi na mwenye mali(meneja) ainadi bidhaa yake na kuipandisha dau kadri awezavyo


Ndo mwisho wa Ufafanuz wangu.
 
Sasa wachezaji wa bongo baadhi wana-mameneja.

Swali, je, ukitaka kumsajili huyo mchezaji unaongea na wakala au meneja wake?

Au ni jina tu ndilo limebadilika ila majukumu ni yale yale ya wakala?
 
Inategemea na Meneja Amempa Nguvu Gani Dalali wake ambaye ndo kwa jina lingine wakala

Mfano mdogo huku Mitaani kuna Mwenye Nyumba anakuwa hana Nguvu kama Dalali japo Nyumba ni Yake
 
Wakala ktk mchezo wa soka, anatambulika na mamlaka husika za mchezo,kuanzia tff,caf.na fifa. Wakala ana taratibu za kufuata kuwa wakala wa mcheaji,pia wakala anakaguliwa na interpol . Wakala ana leseni inayotambulika, hadi hapo utaona tofauti
 
Wakala ni meneja mwenye vibali vya wenyempira wao (fiffa). Mawakala wengi Duniani ndio Wana miliki wachezaji.
 
Back
Top Bottom