Nijuavyo mimi Darasa la 4b ni kwamba Meneja jukumu lake Kukuandaa katika kila hitaji lako la msingi na kukugharamia. Ni Kama Wewe ni Roboti lake na hakuna mtu atakuwa na Mamlaka Juu yako kuhusu jambo lolote analokusimamia bila ya kupitia kwake!
Wakala Hana Tofauti na Dalali anayopewa kazi na mwenye mali(meneja) ainadi bidhaa yake na kuipandisha dau kadri awezavyo
Wakala ktk mchezo wa soka, anatambulika na mamlaka husika za mchezo,kuanzia tff,caf.na fifa. Wakala ana taratibu za kufuata kuwa wakala wa mcheaji,pia wakala anakaguliwa na interpol . Wakala ana leseni inayotambulika, hadi hapo utaona tofauti