Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Bidada anayemuweka mjini Harmo rapa kumbe sio mtu wa mchezo mchezo, baada ya kufanyiwa alichokiita ni kuchukuliwa poa na msanii aliyekuwa chini yake, dada huyo alimyimua jamaa huyo usiku wa manane kwenye nyumba aliyokuwa akiishi nae
Usiwe bwege wewe, neno linaweza kuwa na origin yenye maana flani lakini likaja kuwa na maana nyingine ambayo ni tofauti ya ile origin ila zipo relatedNadhani ni wakati muafaka sasa Watanzania tulielewe vizuri neno la MAFIA na maana yake kwani nimegundua tunalitumia kwa mambo ya Kipuuzi kinyume na inavyotumika na waliolianzisha huko Italia.
Usiwe bwege wewe, neno linaweza kuwa na origin yenye maana flani lakini likaja kuwa na maana nyingine ambayo ni tofauti ya ile origin ila zipo related
nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudiNadhani Wewe utakuwa Mafia Bwege uliyetukuka.
Mkuu kweli kabisa....neno au kufanyiwa U.M.A.F.I.A watu hawajalijua vizuriNadhani ni wakati muafaka sasa Watanzania tulielewe vizuri neno la MAFIA na maana yake kwani nimegundua tunalitumia kwa mambo ya Kipuuzi kinyume na inavyotumika na waliolianzisha huko Italia.
Mkuu kweli kabisa....neno au kufanyiwa U.M.A.F.I.A watu hawajalijua vizuri
Ova
Teh teh teh hujakosea chiefWajinga wajinga wa Kiswahili wanapenda mno kulitumia ndivyo sivyo hilo jina Mkuu na binafsi huwa wananikera sana tu!
Kwl dawa ya kibr jeurBidada anayemuweka mjini Harmo rapa kumbe sio mtu wa mchezo mchezo, baada ya kufanyiwa alichokiita ni kuchukuliwa poa na msanii aliyekuwa chini yake, dada huyo alimyimua jamaa huyo usiku wa manane kwenye nyumba aliyokuwa akiishi nae
Safi sana umenifanya nikuone shujaa yaan wanawake tunadharaulika sanaBidada anayemuweka mjini Harmo rapa kumbe sio mtu wa mchezo mchezo, baada ya kufanyiwa alichokiita ni kuchukuliwa poa na msanii aliyekuwa chini yake, dada huyo alimyimua jamaa huyo usiku wa manane kwenye nyumba aliyokuwa akiishi nae
Ni kisiwa kilichopo mpakan mwa nungwi na kawe ukwamaniNini maana ya neno mafia?