Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Waziri Aweso ametangaza uamuazi huo leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku moja Mkoani Morogoro.
Hakuna lolote, ifike hatua nayeye awajibike maana kila anapopita kuna madudu ya muda mrefu sasa siku zote anakuwa wapi kushughulikia tatizo hadi linawasumbua wananchi kwa muda mrefu?