Meneja wa zamani wa timu ya Uingereza ya Liverpool Jurgen Klopp ameteuliwa katika nafasi mpya kuwa mkuu wa shughuli za soka katika kampuni ya Red Bull, ambayo inamiliki klabu za RB Leipzig ya Ujerumani, RB Salzburg ya Austria, Red Bull Bragantino ya Brazil na RB New York.
Red Bull inasema Klopp hatahusika katika shughuli za kila siku lakini atazishauri timu kuhusu falsafa, mkakati wa uhamisho na maendeleo ya ukufunzi.
Klopp, raia wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 57 ataanza jukumu hilo tarehe 1 Januari 2025.