Wanabodi,
Pamoja na Nia Njema ya Rais Wetu JPM kuunda PSSSF ili kuboresha mafao ya wastaafu na watumishi wa umma.kuna tetesi kuwa menejimenti hiyo haipo focused na madai mbalimbali ya watumishi yamerundikana wakati menejimenti hiyo imejikita kwenye kusafiri na kusaka posho. Inasemekana mawasiliano kati ya menejimenti hiyo iliyopo DOM na matawi yake yapo hoi bin taaban kiasi cha ku-paralyze shughuli katika matawi hayo ya kila mkoa hivyo kuwafanya wanaofuatilia mafao mbalimbali kuwa frustrated bila msaada.Nawashauri SSRA kutupia jicho uongozi huo mbovu kabla JPM hajawatumbua