Usimsifu rais, walioacha mifuko hii iwe searate hawakuwa wajinga. This is going to make a funeral for retirees!Wanabodi,
Pamoja na Nia Njema ya Rais Wetu JPM kuunda PSSSF ili kuboresha mafao ya wastaafu na watumishi wa umma.kuna tetesi kuwa menejimenti hiyo haipo focused na madai mbalimbali ya watumishi yamerundikana wakati menejimenti hiyo imejikita kwenye kusafiri na kusaka posho. Inasemekana mawasiliano kati ya menejimenti hiyo iliyopo DOM na matawi yake yapo hoi bin taaban kiasi cha ku-paralyze shughuli katika matawi hayo ya kila mkoa hivyo kuwafanya wanaofuatilia mafao mbalimbali kuwa frustrated bila msaada.Nawashauri SSRA kutupia jicho uongozi huo mbovu kabla JPM hajawatumbua
Acha ujinga wako, fuatilia ujue nani ameiua hiyo mifuko ndugu usikurupuke kurupuke tu ili mradi umeongea. Magufuli amekuta NSSF na PPF iko taabani hilo liko wazi, so yeye amefanya kuiokoa baada ya mtangulizi wake kuchota fedha bila akili eti wanawekeza, huku uwekezaji huo ukienda kwenye white elephant.Usimsifu rais, walioacha mifuko hii iwe searate hawakuwa wajinga. This is going to make a funeral for retirees!
Sitaki matusi, andiko langu halina tusi. Basi nami nakutukana bila hata kusoma post yako. Mjinga ni mama yako!Acha ujinga wako, fuatilia ujue nani ameiua hiyo mifuko ndugu usikurupuke kurupuke tu ili mradi umeongea. Magufuli amekuta NSSF na PPF iko taabani hilo liko wazi, so yeye amefanya kuiokoa baada ya mtangulizi wake kuchota fedha bila akili eti wanawekeza, huku uwekezaji huo ukienda kwenye white elephant.
Hivi raisi bado hajawaona hawa PSSSF akawatumbua? Kama imeshindikana basi turudishieni pspf zetu twendelee nazo