Hivi vita vya mafisadi inatakiwa kuwe na uangalifu mkubwa, ama itakuwa fisadi ndani ya ma fisadi. Mfumwa kupinga ufisadi, haimaanishi si fisadi. Hivyo kama kuna tatizo atafanya Mengi, tuangalie tatizo, na tusifikie tu uamuzi sababu anapiga vita mafisadi wanamzushia. Jaji Warioba baada ya kuanza kusemwa kuwa naye atafikishwa mahakamani, watu wakasema kuwa sababu alikuwa anawasema mafisadi. Sendeka kampiga mtu ngumi, watu wanasema anasukiwa mbinu sababu yuko katika listi ya wale wanaopinga ufisadi. Sasa wapinga ufisadi wakikosa watu wasiseme?.
Na nakumbuka ilitolewa maelezo ya kutosha kiasi kwamba watu wote walilizika hata waliotoa pesa walilidhika kuwa Bwana Mengi hausiki
Hivi ni nani mmiliki wa hili gazeti???????
Kuhusu Sendeka kumpiga mtu, hata mimi sipendi mtu mbabe japo JK alipomtangaza Wasira kuwa Waziri, alimuita Tyson na jina hilo alilipata kwa kumpiga mtu ngumi. TAFAKARI. Lakini tujiulize, na malengo yamewekwa bayana kwamba sasa Millya anataka Sendeka ajiuzulu Ubunge, hapo ndio ujue hoja si ugomvi hoja ni ubunge na sasa wote, kina Kilango, Sitta, Kwakyembe, Selelii, wametengewa mabilioni ya fedha wasirudi bungeni 2010, je, ni kwa maslahi ya nani? Hapa JF tuko tayari kwa hilo? Tuko upande gani? TAFAKARI