Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
mengi ananishangaza mno
yaani wafanyakazi wanakimbia ipp media na kwenda kuajiriwa na wahuni wa clouds
na yeye haoni inavyomvunjia heshima???????
Tatizo kubwa la mengi ni utaratibu wa kulipana maslahi ambao
1. Unapata mshahara kulingana na nani alikuleta IPP media
2. Mshahara unakuwa mdogo na posho kiasi kikubwa
3. Kadri unapozidi kukaa IPP kiasi cha posho kinapungua
4. Malipo unapata kwa mafungu mafungu
5. Mengi kila siku anaonekana katika TV akitoa misaada wakati mishahara kwa wafanyakazi wake ni mgogoro
6. Ukabila ni kigezo kimojawapo cha kupata kiwango cha mshahara
yaaani
anaonekana hajui hizo details zote sawasawa
yaani soon wakenya wataingia kwenye soko la media tz
na wataasomba all the best emloyeees...........
hayo magazeti na televisions lazma zijiuze...au unataka atoe fedha kwingine kulipa mishahara kama TBC na dailynews? Kuhimili ushindani inapaswa wafanyakazi wa haya mashirika nao wajitume! maana sitashangaa kama atauza haya makampuni na kufanya kitu kingine kama hayaleti tija maana ana hulka ya biashara haswa!mengi ananishangaza mno