mkuu umeenda mbali sana,kwani hawa jamaa hela ambazo huwa wanachangishwa kama kuna ujio wa viongozi wakubwa huwa wanarudishiwa??????
...............zubedayo_mchuzi said:me MENGI jiran yangu tena nyumba ya 2 toka home kwe2,tamfikishia hiz hbr,mcjar
Kijana rudi upenuni mwa jamvi ubishe hodi kwanza!Unajua tatizo sio kukopeshwa tatizo ni kurudisha. Mi nakuunga mkono uliyetoa hoja lakini embu angalia upande wa pili.. Ukishamaliza chuo ukaajiriwa serikalini mengi au bakhresa atakutoa wapi ila umrudishie chake? Kumbuka serikali yenyewe inashindwa kurudishiwa hela zake za mikopo ya wanafunzi hao watu binafsi wataweza?
zubedayo_mchuzi a.k.a commando said:Tukae tukajua elimu tunayotafuta ni kwa faida yetu,kukosa mkopo isiwe sababu ya kusahau wajibu wetu,nchi yetu inatutegemea,kumekuwa na ongezeko kubwa la wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu,na ikumbukwe nchi yetu ni maskini,tushukuru kuwa baadhi yetu wamepata mkopo,waliokosa watafute njia nyingine kwa maana elimu yako inakunufaisha wewe na familia yako,so fight for it na si kuishutumu serikali,hata nchi zilizoendelea c wote wananufaika,badala ya kukaa kuongea vitu visivyowezekana ni bora kukaa na kuangalia alternatives zitakazowezesha kuyafikia malengo yetu,si CHADEMA wala CUF itakayoweza kuwaridhisha kila mmoja wetu,leo hii serikali ya marekani imewakosesha watu zaidi ya laki 8 ajira walizokuwa nazo,kwahyo ifike wakati tujifunze kujitegemea kwa kila kitu,
Kijana rudi upenuni mwa jamvi ubishe hodi kwanza!
Tukae tukajua elimu tunayotafuta ni kwa faida yetu,kukosa mkopo isiwe sababu ya kusahau wajibu wetu,nchi yetu inatutegemea,kumekuwa na ongezeko kubwa la wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu,na ikumbukwe nchi yetu ni maskini,tushukuru kuwa baadhi yetu wamepata mkopo,waliokosa watafute njia nyingine kwa maana elimu yako inakunufaisha wewe na familia yako,so fight for it na si kuishutumu serikali,hata nchi zilizoendelea c wote wananufaika,badala ya kukaa kuongea vitu visivyowezekana ni bora kukaa na kuangalia alternatives zitakazowezesha kuyafikia malengo yetu,si CHADEMA wala CUF itakayoweza kuwaridhisha kila mmoja wetu,leo hii serikali ya marekani imewakosesha watu zaidi ya laki 8 ajira walizokuwa nazo,kwahyo ifike wakati tujifunze kujitegemea kwa kila kitu,
Aliyestahili kurudi upenuni kubisha hodi ni asfath siyo wewe...............alafu
Kuna wakati nafikiri kwamba tuliharakisha sana kuwafukuza wakoloni weupe kwa kuwa hatukuwa tumetengeneza mfumo thabiti wa kujitawala wenyewe na wakati mwingine nafikiria waasisi walikuwa sahihi kuchukua hatua ile kwa wakati ule ila waliopokea kijiti ndiyo wakavurunda.
Tumefikia mahala mwananchi anaona serikali haina msaadaa kwake na badala yake mwananchi mwenzake ndiye mwenye jukumu la kubeba mzigo uliostahili kubebwa na serikali? Kuna tofauti gani basi na mwenye dhana ya kuinuka kumvamia mwenye nacho kwa kuwa tu yeye hana?
Mengi/Bakhresa na wengine wa aina hiyo wameplay role kubwa sana kwa Watanzania wa kada mbali mbali,kuna maelfu ya watu walioajiriwa kwenye taasisi za hawa mabwana na kupitia ajira zao wameweza kuendesha familia zao kwa maana ya kuwa na makazi,kusomesha na mahitaji ya kila siku,bado hamuoni msaada wao kwa serikali? Mnataka wabebe tena majukumu ya hazina,wizara ya elimu na bodi ya mikopo? Kwanini serikali isikiri kushindwa kwanza ndipo wawaombe hawa wazee msaada?
umekurupuka sanaaaaababa yako mzaza ameshindwa kukulea unaomba kulelewawna baba wa kambo? mwambie kikwete akukopeshe na mwaneridhiwani.
Kama hukutaka watu watoe mawazo yao ungewaandikia barua kina Mengi ama ungeweka angalizo kwa watu wenye mawazo tofauti na yako wasichangie!wewe ni msemaji wa BAKHRESA AU MENGI
hujatoa mawazo yako ila umesimama badala yao.......unge sema mapema kuwa una manufaa na hawa watu,wanafunzi wanashida,swala la bakheresa na Mengi linawezekana kabisa kwani wao wanaweza kuangalia uhitaji wa wataalamu katika viwanda vyao na kuamua kuchukua wanafunzi na kuwasomesha alafu na kurudi tena kufanya kazi katika makampuni yao,hata wanapokuwa likizo wanaweza kurudi na kufanya hizo shughuli katika viwanda vyao,si lazima kama uwazavyo wewe au niwazavyo mimi,ila hakuna linalo shindikana........Kama hukutaka watu watoe mawazo yao ungewaandikia barua kina Mengi ama ungeweka angalizo kwa watu wenye mawazo tofauti na yako wasichangie!
hujatoa mawazo yako ila umesimama badala yao.......unge sema mapema kuwa una manufaa na hawa watu,wanafunzi wanashida,swala la bakheresa na Mengi linawezekana kabisa kwani wao wanaweza kuangalia uhitaji wa wataalamu katika viwanda vyao na kuamua kuchukua wanafunzi na kuwasomesha alafu na kurudi tena kufanya kazi katika makampuni yao,hata wanapokuwa likizo wanaweza kurudi na kufanya hizo shughuli katika viwanda vyao,si lazima kama uwazavyo wewe au niwazavyo mimi,ila hakuna linalo shindikana........
We una matatizo,,hao wanafanya biashara zinazowalipa tu,,hata charity wanazotoa bado wanapewa misamaha ya kodi.
Ni wazo zuri nakuunga mkono...
Mzee Mengi na Bakhresa wawakopeshe wanafunzi wa elimu ya juu!
Wasiishie hapo waikopeshe na wizara ya elimu ili iweze kuwalipa walimu stahili zao!
Waikopeshe wizara ya afya ili mgomo wa madaktari usiwepo tena na waende mbali zaidi kuikopesha serikkali ili iendeshe shughuli zake za kila siku!