Mengi: Kwanini nimemuoa K-lynn

Mzee ashageuzwa model sikuhizi hadi mapozi ya picha anajua, ila hata kama Mimi ndio ningekuwa mengi ningechukua maamuzi hayohayo, niwe na pesa nioe gumgume wakati kunavitu kama hivyo cha muhimu wato na public image, kimpompo hata mwehu anacho, na peza zake hawezi jua tabia ya mtu
 
K lyn love money
Money love Mengi
kwa mahesabu na mlinganyo sahihi lazima K lyn atampenda mengi tu

Kama sio mwanahisabati huwezi kulijua hili
Upo juu mkuu, huo mlinganyo upo sahihi na inaonekana wanawake wengi wanashindwa kuurahisisha huo mlinganyo na ndio maana wana ishia kupenda pesa na mwishowe wanatemwa. Ha ha ha haaaa..
 
Hakuna mwanamume asiependa kuheshimiwa na kunyenyekewa, na hata maandiko yanasema wanaume wapendeni wake zenu na wanawake waheshimuni waume zenu.
 
Eti nini??? Hajakimbilia pesa kwake?? Kumbe kilivhomleta kwako nini?? Kupika na kupiga pasi?? Kweli uzito wa pua umemzidi hadi hajielewi!!
Akili ndogo bana, K'lyn ni mjanja sio kama wanawake wengine wasio jitambua. K'lyn anaonesha Mapenzi yake kwa Mengi na sio kuonesha mapenzi yake kwa Fedha za Mengi au Jina la Mengi, Anajua kabisa akiupata Moyo wa Mengi hayo mengine atazidishiwa zaidi na zaidi. Walio pita walikua wanatolea mimacho pesa na wakaishiwa kutiwa na kuachwa. Tumia akili dada la sivyo utaishia kugongwa na kukimbiwa na hata baadae utapata magonjwa.
 
Kwahiyo furaha yake ni kuona klyn anafua minguo kwa mikono wakati mashine zipo? Anyway, mambo mengine tuwaachie baba na mama
Ndio Maana FaizaFoxy ana waulizaga Shuleni mnaenda kufanya nini!?
Mengi sio fundi Gereji wala sio mmachinga au konda wa Daladala. Nguo za Mengi zina uchafu upi wa kizisugua hadi mikono ichubuke au itoke kucha. Unadhani hizo nguo zina hata Jasho!?
K'Lyn ni mjanja sio Fala kama hawa golddigger wengine ambao hawajui nafasi yao katika ndoa. Hao wenu ambao hawafui hawana hata 1/10 ya anayo pewa K'lyn na wala hawana hadhi ya K'lyn.
 
Wanawake kuweni makini sana na watu mliotoka.nao mbali kutafuta mali mnapigika weee mnasotaaa weee mnachechemea weee wanaokuja kufaidi wengine hakikisha mali mnazochuma 50% inakuwa yako
 
matters of calculation!
mengi ana Dr,klyn ana PhD!
 
mkuu si vizur kukosoa maumbile ya mtuu, ndivyo alivyo umbwa..hata wewe sidhan ukikosolewa au kutolewa kasoro maumbile yako sijui utajisikiajee..cha msingi nenda kwenye hoja kama hujaipenda kosoa kwa namna nyingine na sio kukashifu maumbile yake.

Ukishakuwa Tu Public Figure Basi Ukubali Yote. Uwe Unajingeza kidogo Ktk KUFIKIRI Kwani Hiki Kitu Ni Cha Kawaida Sana. Wanasemwa WAKUBWA Na MAARUFU Tena Zaidi Yake Na Wanayapokea Yote Iweje MIPOVU IKUTOKE KWA HUYU TU? au Njia Yenu Ni Moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…