Mengi: Kwanini nimemuoa K-lynn

Kwa mwanamme cheda ndo silaha kubwa,mwanamke unaweza kumuambia chochote afanye,hata umwambie ale mchanga anakula
 
Naomba kujua humu, kuna mdada gani single hayuko tayari kuolewa na mengi, iwapo chansi itatokea?!
 
Potelea mbali hata kama anataka pesa na huduma akatoa ipaswavyo huyo anastahili. Kwanin umtafutie pesa asiyethamini ile thamani yako? Keep it up k lyn
 
Duh kumbe bado anapenda usultani, dunia ya leo bado anahamasisha kufuliwa nguo kupikiwa? raha ya mapenzi kusaidiana na katika hili yeye anaeeza kumfulia pichu yfu wake wakati mwenzake anampikia.
Kusaidiana for what.

Kama haujui nafasi yako kama mwanamke utasubili sana
 
Maneno kuntu
 
Duh kumbe bado anapenda usultani, dunia ya leo bado anahamasisha kufuliwa nguo kupikiwa? raha ya mapenzi kusaidiana na katika hili yeye anaeeza kumfulia pichu yfu wake wakati mwenzake anampikia.

Inategemea na aina ya mwanaume uliyenae ili hilo litimie, kwanza malezi yake,pili namna mahusiano yenu yalivyokuwa tangu awali.
Huwezi kumshurutisha mwanaume msaidiane kazi za ndani kama kufua,kupika,kuosha vyombo,kudeki n.k

Ila aina ya mahusiano yenu na malezi yenu ndio yatadetermine muishi vipi, ila kila mwanaume anapenda kufanyiwa hivyo na mkewe,hii sio kwa waafrika tu.
 
Duh kumbe bado anapenda usultani, dunia ya leo bado anahamasisha kufuliwa nguo kupikiwa? raha ya mapenzi kusaidiana na katika hili yeye anaeeza kumfulia pichu yfu wake wakati mwenzake anampikia.
Asa mkuu tusikilize maoni yako au yale ya Mfanyabiashara mkubwa mwenye mafanikio aliyeoa mke mrembo na smart.mi naona bora niwe upande wa mengi.Hakunaga mtu atakayekupenda bila sababu,lazima kuna kitu kilichomvutia kwako eidha muonekano vitendo,kipaji au ukwasi ulionao.unadhani mengi angekuwa mkulila wa ndizi ama miiza mbege huko kwao kishumundu angeweza kukutana na k lyn.ila ndo ivo mtoto kavutiwa na tajiri la kichaga na anajitahidi kujiongeza ili kuweza kumaintain.
 
Yani washing machine iwepo afu nifue na mkono?? Why?
Nakupenda sana ila ni muhimu kurahisisha domestic labour ya MKEO,Kuna vitu ambavo mashine haifanyi mfano kumcare mume, kupika, kumuogesha nk nk,hapo Sawa,japo mtu unapumua hata iwe na nguvu ya kumpa mapenzi mengine
 
Hakufuata pesa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…