Tangia nimejiunga na JF nilikuwa namheshimu sana GT hata kama mchango wake unakuwa tofauti na mawazo yangu, lakini anachofanya sasa si kutoa mawazo yake bali kuvuruga au ndio mwezi mchanga mkulu, siamini mtu kama wewe uliyekuwa unatoa analysis nzuri kwenye issue nzito kamoja na kada mpinzania sasa unaadnika mambo ambayo kwa lugha nyepesi yasikuwa ya kistaarabu.
Mkuu tueleze siri ya mafanikio yako, au umeshavuta kidogo? kama Dr. Idriss