Mengi’s ARV firm placed under receivership

Jamani, mambo ya biashara tuyaache kwenye biashara na ya siasa tuyaachie huko. Sidhani kama ni vizuri kuchanganya mambo haya mawili.

Tatizo hapa ni kuingiza ya siasa kwenye biashara and vice versa.

Kwa nini biashara ya Mengi iwe tofauti lakini biashara anayofanya Rosrtam au Manji isiwe tofauti? Mengi mwenyewe kapenda awe public figure, kajiweka katika vyombo vyake vya habari pursuing his interest, it is his right but he has to live with the consequences. Kama ambavyo Rostam na Manji waliamua kujiingiza katika siasa hivyo wameji-expose na lazima wawe tayari kuwa scrutinized. Everything is fair!
 

Wandugu; hii stori ilishawahi kutolewa na gazeti moja la Karamagi kama sikosei linaitwa taifa huru katikati ya mwezi wa 3(kopi ninayo kule visiwani kwa sasa sipo huko).

Muda si mrefu mojawapo ya magazeti ya IPP media yalikanusha kwa nguvu zote kuwa hiyo issue si ya kweli na kiwanda kina-operate vizuri tu wala hakidaiwi na bank yoyote. Ktk taarifa ya habari ya itv saa 2 usiku kuna msemaji wa barclays nae akakanusha juu ya issue hiyohiyo ya hiki kiwanda kutaka kufilisiwa. Lakini msemaji huyuhuyu alipohojiwa na gazeti hilo alisema kwa wkt huo hawezi kulizungumzia suala la kudaiwa au kutodaiwa.

Naona sasa ukweli unaelekea kujulikana; yetu macho 🙄
 

Wewe "HAMANI" wa kitanzania mchukia wachagga, naona umepata mahali pa kupeleka chuki zako.
siku moja yatakupata yaliyompata Hamani adui wa Wayahudi.
 
Is Benjamini Mengi=Elitira Mengi?...the owner of InterChem Pharma Ltd. Uchumi wa Moshi umezorota sana siku hizi. Sijui kuna kiwanda gani tena ambacho bado kinafanya kazi. Kilimanjaro Machine Tools? Kibo Match? KNCU? Kibo Breweries? It's very disappointing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…