Habari zilizonifikia hivi punde kutoka chanzo changu cha habari cha uhakika kabisa kilichopo karibu na benchi la ufundi,muda huu...ikiwa ni muda mfupi kabla ya team ya Wananchi kushuka uwanjani kuwaonyesha Wazanzibar namna soka la ushindani linavyochezwa kumeibuka pande 2 zonazovutana kuhusiana ni kwa namna gn wanaweza kufanya ili wakutane na Simba katika ktk kipindi hiki wanapoonekana kucheza mpira mbovu,wako wanaotaka kwa kuwa Simba inaweza ikashika nafasi ya kwanza kwenye kundi lao bas Yanga ihakikishe inashika nafas ya 2 ili wakutane kwenye nusu fainali wakiamini kwa sambusa zinazopigwa na Vijana wa Lwandamina Vs butua'butua za kina Lufunga hiki ni kipindi muafaka cha kulipa zile 5 au 6..Kuendelea kucheza kwa kiwango cha chini kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendela Zanzibar kwa mabingwa zamani wa mashindano hayo kumeibua mambo mengi kutoka kwa baadhi ya wadau wa mchezo huo hapa nchini.
Licha ya kuchezesha kikosi cha kwanza kinachojumuisha wachezaji wao wa kimataifa team hiyo imekuwa ikishindwa kuonyesha kiwango kizuri na matokeo yake kupata ushindi kiduchu kwenye michezo yake.
Simba imeteremka mara 2 kwenye mashindano hayo na kushinda 2-1 na 1-0 dhidi ya team dhaifu za Taifa Jang'ombe na KVZ respectively, huku ushindi wa jana dhidi ya KVZ ukilalamikiwa kuwa haukuwa halali kwakuwa walifunga goli la Offside.
Mdau mmoja wa mchezo huyo ambaye amekuwa akihudhuria match zote za mashindano hayo alisikika akiuliza inakuwaje Simba inayocheza kiwango kibovu hivyo kuongoza Ligi kuu ya Bara ambayo Zanzibar nzima wanaijua kuwa ni ngumu.
Bwana Mohamed Fakhi wa Kibandamaiti naye alisikika akilalamika kutomuona mchezaji anayeongoza kwa kuzifumania nyavu kwenye ligi kuu bara, na kulaumu team hizi kubwa za Bara kwa kudharau haya mashindano na kuwaacha wachezaji mihimili Dar. Hata hivyo alipothibitishiwa kuwa mfungaji huyo muongozaji anayekwenda kwa jina la Shiza Kichuya yupo na amecheza match zote alipigwa na mshangao mkubwa kwa kutoona vitu vyake ambavyo amekuwa akivisikia anavifanya huko kwenye Ligi ya Bara.
Aidha wadau wengine walifika mbali na kuzitaka mamlaka husika kufuatilia mwenendo wa team hiyo kwenye ligi kuu ya mwaka huu Bara wakitilia mashaka matokeo ambayo wamekuwa wakiyapata ambayo kihalisia hayafanani na kiwango chao halisi cha uwanjani, "kwa namna Simba walivyopania kumaliza ukame wa kutwaa ubingwa wa Bara,huenda wakawa wanatumia mbinu mbadala za kuwawezesha kufanikisha hilo.
Haiwezekani team ikawa na kiwango duni hivyo kama inavyothibitika uwanjani hlf ikawa inaongoza Ligi" alisikika akilalamika mdau mwingine ambaye hoja yake iliungwa mkono na Mshabiki mmoja aliyejitambulisha kwa jina 1 la Ahmed ambaye alisema kwa kiwango hiki hata Simba ingekuwa inashiriki ligi kuu ya Zanzibar inayojulikana kuwa ni nyepesi isingeweza kuwa hata kwenye Top 3.
Naomba kuwasilisha.
Kwa kocha mwenye akili michuano hii haihitaji nguvu kubwa kwenye hatua za awali bali pale tu inapolazimu.Yanga hua wanatumia nguvu nyingi ndo mana hatua za mbele wanapigwa.Hatua za awali kila baada ya siku moja mechi kwa nn timu inayotumia nguvu kubwa mwanzoni isichoke?Na ndo mana simba ndo timu pekee iloingia fainali ya kombe la mapinduzi mara nyingi na kubeba kombe mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote.Simba wana timing nzuri kuliko yangaHabari zilizonifikia hivi punde kutoka chanzo changu cha habari cha uhakika kabisa kilichopo karibu na benchi la ufundi,muda huu...ikiwa ni muda mfupi kabla ya team ya Wananchi kushuka uwanjani kuwaonyesha Wazanzibar namna soka la ushindani linavyochezwa kumeibuka pande 2 zonazovutana kuhusiana ni kwa namna gn wanaweza kufanya ili wakutane na Simba katika ktk kipindi hiki wanapoonekana kucheza mpira mbovu,wako wanaotaka kwa kuwa Simba inaweza ikashika nafasi ya kwanza kwenye kundi lao bas Yanga ihakikishe inashika nafas ya 2 ili wakutane kwenye nusu fainali wakiamini kwa sambusa zinazopigwa na Vijana wa Lwandamina Vs butua'butua za kina Lufunga hiki ni kipindi muafaka cha kulipa zile 5 au 6..
Hata hivyo benchi la ufundi limetupilia mbali mkakati huo kwa kusema hawajapeleka team Zanzibar kuwatafuta Simba bali ni sehemu yao ya maandalizi kabla hawajaanza kucheza mechi zao za kimataifa,hivyo kuwataka Wachezaji kutekereza kile wanachowaelekeza Uwanjani.
WAZEE WA POVU,NINI MAONI YENU?
U missing point Brother...Kwa kocha mwenye akili michuano hii haihitaji nguvu kubwa kwenye hatua za awali bali pale tu inapolazimu.Yanga hua wanatumia nguvu nyingi ndo mana hatua za mbele wanapigwa.Hatua za awali kila baada ya siku moja mechi kwa nn timu inayotumia nguvu kubwa mwanzoni isichoke?Na ndo mana simba ndo timu pekee iloingia fainali ya kombe la mapinduzi mara nyingi na kubeba kombe mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote.Simba wana timing nzuri kuliko yanga
Mkuu.. wala usipate taabu kuleta tathimini hapa, waache watumie nguvu nyingi, hawana walijualo zaidi ya kuruka ruka tu uwanjani kama ilivyo Vyura FCKwa kocha mwenye akili michuano hii haihitaji nguvu kubwa kwenye hatua za awali bali pale tu inapolazimu.Yanga hua wanatumia nguvu nyingi ndo mana hatua za mbele wanapigwa.Hatua za awali kila baada ya siku moja mechi kwa nn timu inayotumia nguvu kubwa mwanzoni isichoke?Na ndo mana simba ndo timu pekee iloingia fainali ya kombe la mapinduzi mara nyingi na kubeba kombe mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote.Simba wana timing nzuri kuliko yanga
Nadhani kulingana na coment yako tu umekubaliana namm kua simba inatumia nguvu zaidi kwenye hatua muhimu zaidi ikiwemo hatua za nusu fainali.U missing point Brother...
Ni kweli Simba ndo team iliyoingia nusu fainali na kutwaa kombe hili mara nyingi kuliko team zingine alikwa kwenye mashindano hayo lkn sbb cyo kuwa eti hawatumiagi nguvu nyingi mwanzoni bali ni ksbb ktk miaka ya karibuni limekuwa ni kombe pekee linalowafuta machozi,baada ya Makombe mengine kugoma kuchukulika na rejea mara zote walizofika nusu fainali au kuchukua kombe utaona walivyokuwa wanakomaa
ushindi .....?fear of failure. ...Kuendelea kucheza kwa kiwango cha chini kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendela Zanzibar kwa mabingwa zamani wa mashindano hayo kumeibua mambo mengi kutoka kwa baadhi ya wadau wa mchezo huo hapa nchini.
Licha ya kuchezesha kikosi cha kwanza kinachojumuisha wachezaji wao wa kimataifa team hiyo imekuwa ikishindwa kuonyesha kiwango kizuri na matokeo yake kupata ushindi kiduchu kwenye michezo yake.
Simba imeteremka mara 2 kwenye mashindano hayo na kushinda 2-1 na 1-0 dhidi ya team dhaifu za Taifa Jang'ombe na KVZ respectively, huku ushindi wa jana dhidi ya KVZ ukilalamikiwa kuwa haukuwa halali kwakuwa walifunga goli la Offside.
Mdau mmoja wa mchezo huyo ambaye amekuwa akihudhuria match zote za mashindano hayo alisikika akiuliza inakuwaje Simba inayocheza kiwango kibovu hivyo kuongoza Ligi kuu ya Bara ambayo Zanzibar nzima wanaijua kuwa ni ngumu.
Bwana Mohamed Fakhi wa Kibandamaiti naye alisikika akilalamika kutomuona mchezaji anayeongoza kwa kuzifumania nyavu kwenye ligi kuu bara, na kulaumu team hizi kubwa za Bara kwa kudharau haya mashindano na kuwaacha wachezaji mihimili Dar. Hata hivyo alipothibitishiwa kuwa mfungaji huyo muongozaji anayekwenda kwa jina la Shiza Kichuya yupo na amecheza match zote alipigwa na mshangao mkubwa kwa kutoona vitu vyake ambavyo amekuwa akivisikia anavifanya huko kwenye Ligi ya Bara.
Aidha wadau wengine walifika mbali na kuzitaka mamlaka husika kufuatilia mwenendo wa team hiyo kwenye ligi kuu ya mwaka huu Bara wakitilia mashaka matokeo ambayo wamekuwa wakiyapata ambayo kihalisia hayafanani na kiwango chao halisi cha uwanjani, "kwa namna Simba walivyopania kumaliza ukame wa kutwaa ubingwa wa Bara,huenda wakawa wanatumia mbinu mbadala za kuwawezesha kufanikisha hilo.
Haiwezekani team ikawa na kiwango duni hivyo kama inavyothibitika uwanjani hlf ikawa inaongoza Ligi" alisikika akilalamika mdau mwingine ambaye hoja yake iliungwa mkono na Mshabiki mmoja aliyejitambulisha kwa jina 1 la Ahmed ambaye alisema kwa kiwango hiki hata Simba ingekuwa inashiriki ligi kuu ya Zanzibar inayojulikana kuwa ni nyepesi isingeweza kuwa hata kwenye Top 3.
Naomba kuwasilisha.
Baada ya michuano hii kuisha tutafutane kaka simba sio wajinga kesho angalia mpira wake na uraKweli Simba inaonesha kiwango duni sana, ktk mechi mbili za Mapinduzi Cup wamekuwa na ball possession ndogo sana ya 59 :41 mara zote mbili huku wakikosa nafasi za wazi 10 na kuendelea kwa kila mechi.
Kuwa na ball possession kubwa ktk mechi ni indicator mpya ya kuonesha kiwango kibovu kabisa. Lazima wajirekebishe
Kweli ongeza na lile la Hamisi Tambwe dhidi ya SimbaGoli la mikia vs ruvu shooting na goli la mikia vs kvz takukuru inabidi wayaangalie kiundani zaidi
Baada ya michuano hii kuisha tutafutane kaka simba sio wajinga kesho angalia mpira wake na ura
Baba Kiki kuwa na position kubwa peke yake cyo indicator ya kuwa team iko kwenye form,kuwa kwenye form kunathibitishwa zaidi na ushindi clear..kufunga magoli yatokanayo na mipango madhubuti cyo ya ku'flukuX2...na nikushukuru kwa kuniongezea input nyingine inayothibitisha jinsi Simba ilivyo chovu,team haiwezi kutengeneza nafasi zaidi ya 10 ikafunga kagoli kamoja hlf ukasema iko vizuri,kuwa vizuri ni pamoja na ku'utilize to the maximum chances za kufunga zinazotengenezwaNakuelewa sana lakini ukinisoma vzr utagundua msimamo wangu. Haiwezekani timu inayomiliki mpira kwa zaidi ya 59% kwa mechi zote ilizocheza na kutengeneza nafasi zaidi ya 10 idaiwe kuwa iko chini ya kiwango. Eti iko ktk fomu mbaya wakati kocha anatengeneza partnership mpya
Kwani Zanzibar kuna mbuga ya wanyamaYaani Simba nimeshindwa kuielewa.....