Mengi yaibuka kiwango cha Simba kwenye mashindano ya kombe la Mapinduzi

we ulitaka simba iwe inafunga kumi kwani hyi ni netball umekula maharage cjui ya wapi
 
Mkuu sishangai kuona wanayanga hawapendi simba ashinde ila nashangaa mnavyotokwa mapovu kuonyesha kuwa simba anabebwa.. Hivi kwa hapa bongo kuna timu inayobebwa kama vyura fc? Kuna maamuzi mabaya ya refa ya kumfikia mwamuzi wa yanga na simba walipokuta au yanga na castal union pale tanga? Kuna timu inayopenda point za mezani kama yanga? Hata kama mnaona mkifungwa mnadhalilisha chama ila msizidishe kununua matokeo... Kama mngekuwa na timu ya maana basi kule caf mngetolewa kwa idadi ya magoli ya nyumbani na ugenini... Simba ni kweli haichezi kwa kiwango kizuri ila si kwamba ndo ukatae magoli halali kisa simba kashinda.. Mbona husemi penat mnazowekewa na mnakosa ingekuwa simba sijui mngesemaje
 
Mkuu yanga imepeleka kikosi cha pili miaka mingapi? Acha kujifariji wewe
 
Mkuu yanga imepeleka kikosi cha pili miaka mingapi? Acha kujifariji wewe
Acha kujitoa fahamu. Misimu mitatu ya hili kombe lenu la Maulid Yanga ilipeleka kikosi cha tatu mpaka ikalalamikiwa. Tangu timu za maana zimeanza kupeleka vikosi vya kwanza, umeshasikia Simba Koko amebeba hiko kikombe cha Maulid?
 
Wewe ndo unajitoa ufahamu kwani hiyo miaka yote hiyo yanga iliwahi kuizuia simba kuchukua kombe? Simba haijafungwa na yanga mapinduzi kama hukuwa na taarifa.. Unapaswa ubebe kombe ndo useme nimewanyima ubingwa..
 
Pombe zimekuzidi sasa, shusha kopo chini. Mimi sijawahi kusema tumewanyima, nimesema WAKATI TIMU ZA MAANA HAZIJAANZA KUPELEKA VIKOSI VYA KWANZA. Mwaka huu vile vile hatutakutana sababu hamtafika fainali
 
Nazani wamewekeza nguvu kubwa na akili zote kwenye VPL hata ukifuatilia maneno ya OMOG yanasadifu
 
Usije kukana kauli yako... Ombeni tu muifunge ura nusu fainal hayo mengine ni mbwembwe tu
 
Usije kukana kauli yako... Ombeni tu muifunge ura nusu fainal hayo mengine ni mbwembwe tu
Kama hiyo kauli niliitolea hapa jukwaani si uinukuu niione. URA tutamfunga na mke wetu tutamfunga pia. Tupo kwenye mazoezi ya nguvu ili kocha aifahamu timu yake vizuri.

Sisi hatuvizii mshika kibendera ajisahau. Tunapiga mijigoli tu, hakuna cha chuya wala moo...Msuva ndio habari ya mjini
 
Nazani wamewekeza nguvu kubwa na akili zote kwenye VPL hata ukifuatilia maneno ya OMOG yanasadifu
Acheni maneno ya kuungaunga, wakati mnaenda huko mlijinadi kuwa mnaenda kuendeleza vichapo, na kweli mmefanya hivyo...kila mshika kibendera akijisahau...mnachapa
 
ukweli ni kwamba huenda kinachosumbua mashabikiwa SIMBA ama YANGA ni kutoona SIMBA haiati ushindi mkubwa hapo tayari inasemwa KIWANGO KIDOGO.............hii ndio bongo bhana
 
Mleta mada anaonekana dhahiri ni wa upande wa pili.Matokeo yanapatikana na walimu wanajua wanachokisimamia.Acheni unazi,hangaikieni mambo yenu huko.Mpira hauko hivyo,kesho utaishangaa AZAM kwa kutoka sare na Jamhuri kwa kuwa nyie mliwafunga 6.
 
Kwani mkuu ulitaka wachezeje unataka Jamaa baada waumie kwaajili ya Kombe LA mapinduzi
 
Meneja wa Simba, Mussa Hassan Mgosi amesema kikosi chao kina mipango yake na hakiwezi kucheza kwa presha ya kuangalia Yanga imefanya nini.

Mgosi amesema hayo kutokana na ile hali ya kuonyesha baadhi ya mashabiki hawafurahishwi na ushindi kiduchu kama ule wa mabao 2-1 dhidi ya Taifa Jang’ombe huku watani wao Yanga wakiwabutua Jamhuri kwa mabao 6-0.

Mgosi ameiambia SALEHJEMBE kwamba, Simba ni timu yenye mipango yake na si fuata mkumbo kwa kila jambo.

“TUnataka kushinda na ikiwezekana ni mabao mengi. Inapotokea kuna makosa au mazuri basi kocha anayafanyia kazi.

“Ushauri wangu tumuache kocha afanye kazi, kitu kizuri Simba imeshinda na kupata pointi tatu. Tusiwape wachezaji presha za bila sababu, si lazima tushinde kama Yanga.

“Kuna wakati tunaweza kufanya hivyo au tusifanye. Huu ni mpira jamani, tuwe waelewa. Mashabiki watuunge mkono na sisi tunajitahidi sana kutowaangusha,” alisema Mgosi aliyekuwa mshambuliaji tegemeo wa timu hiyo kabla ya kustaafu.

Mashabiki wa Simba, hasa kupitia mitandao mbalimbali wamekuwa wakilalamika kutokana ushindi wanaoona ni mwembamba.

Ikionekana wazi hali hiyo inatokana na Yanga kuivurumisha Jamhuri kwa rundo hilo la mabao sita, jambo ambalo wangependa kuona linatokea kwao.
 
We unamatatizo ya akili.kwahyo wewe jana ulifunga mabao kumi?acheni ukundu wapuuzi nyie mpira dk 90 then point tatu ndo muhimu....
Na huku ...
 
We unamatatizo ya akili.kwahyo wewe jana ulifunga mabao kumi?acheni ukundu wapuuzi nyie mpira dk 90 then point tatu ndo muhimu....
Kwanza ww ni Mwanaume au Mwanamke? mana'ke hilo jina lako lenyewe ni Unisex sasa ucje kukuta Homornes za upande wa 2 zimekuzidia kiasi kwamba badala ya kuandika/kujenga hoja unatukana
 
Kwanza ww ni Mwanaume au Mwanamke? mana'ke hilo jina lako lenyewe ni Unisex sasa ucje kukuta Homornes za upande wa 2 zimekuzidia kiasi kwamba badala ya kuandika/kujenga hoja unatukana
Mlete mkeo ndo utajua kam mm mwanaume... ..mnashindwackufatilia mambo yenu mnaleta mambo ya ukundu tuu.mpira point tatu ndo muhimu ..mijitu mingne kama michawi vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…