Mengi yaibuka kiwango cha Simba kwenye mashindano ya kombe la Mapinduzi

Jukwaa halina mvuto kabisa kwasababu ya kuleta nyuzi kishabiki yaani unashindwa hata kuchambua tu tatizo la simba ni nini.
 
Hii mimba ya Yanga safari hii itawasumbua sana. Yaani kila mgongo wazi akija ni kuanzisha uzi kuhusu Simba. Utafikiri hawana timu.Mimba mliyotiwa safari hii na Simba itawadodea tu.Kinachowaudhi hawa migongo wazi ni Simba kuongoza ligi pamoja na njama zote zinazofanyika. Mtakula udongo,mihogo na limao lakini bado kitawanata tu.Wamegeuka makocha wa Simba,viongozi na hata marefa. Ndio maana mnatukanwa. Kiherehere ugonjwa mbaya.
 
Hivi nyie wageni humu! Mbona sembo kila mara anaweka nyuzi za kukandia yanga lkn ukuti mitusi! Au kuna watoto wamevamia hili jukwaa!!
 
mkuu povu la nn?Mara ngapi umeleta mada za kuiponda yanga humu jf?umechangia mada ngapi za kuiponda yanga ukiwa na sembo?haya lete matokeo ya simba na ura hapa
 
Mbeya city? Kweli wewe mbumbumbu wa soka kabisa! Mbaya city alikula Mbili safiii
 
Mama yako ndio ngedere.****** mkubwa wewe. Usinizoee situmii wasenge.
Povu la nini Mkuu,naona ustahamilivu unawashinda sasa Mbumbumbu fc na hili ni Bonanza tuu bado Ligi Kuu mbona mtakunywa vyupa vilivyosagwa mwaka huu.
 
Mbeya city? Kweli wewe mbumbumbu wa soka kabisa! Mbaya city alikula Mbili safiii
Aah ni kweli aisee,Mbeya City alikula 2 na Prison na yeye akala 1 (1-2 lkn) safii!
 
Na huku ...
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kujitapa kwa kuwa mbele kwa points wakati bado michezo kibao mbele.

Simba hainauwezo wa mbio ndefu zao ni fupi tu na kwa muda walikaa kilele tayari pumzi imewaisha, subiri uone baada mechi tatu za ligi kuu uone itakapokuwa
 
Tusubiri nini?? Hebu acha porojo zako.. nyie wa mbio ndefu mko wapi hadi sasa??
 
Hivi nyie wageni humu! Mbona sembo kila mara anaweka nyuzi za kukandia yanga lkn ukuti mitusi! Au kuna watoto wamevamia hili jukwaa!!
Ni uzi gani nimeweka ya kukandia Ndala??
Mimi hua nazungumzia Simba tu.
 
Ni uzi gani nimeweka ya kukandia Ndala??
Mimi hua nazungumzia Simba tu.
Tuzungumzie bas na matokeo ya jana dhidi ya URA Kaka mkubwa,mana'ke None of the Mikia Fan has volunteer to talk about it...
 
Tuzungumzie bas na matokeo ya jana dhidi ya URA Kaka mkubwa,mana'ke None of the Mikia Fan has volunteer to talk about it...

Hata mimi sina la kusema.. ila tukutane Fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…