Mengi yasiyofahamika Julius Nyerere aliingiaje katika uongozi wa TAA 1953?

Mengi yasiyofahamika Julius Nyerere aliingiaje katika uongozi wa TAA 1953?

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Mwalimu Nyerere hajapata kueleza historia yake vipi alifahamika na kuwa maarufu Dar es Salaam kiasi cha kuaminika kuchaguliwa kuwa Rais wa TAA.

Iweje historia muhimu kama hii haijulikani?
Kwa nini iwe hivi?

Mkuu kama kuna maneno walau kwa ufupi utupe hayo madini, wengine si wapenzi wa kusikiliza.
 
Nakipata vipi
Dash...
Kitabu kinauzwa Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Msikiti wa Manyema na Msikiti wa Mtambani Dar-es-Salaam.

Bei shs: 10 000.00.
Kipo kwa Kiswahili na Kiingereza.
 
Dash...
Kitabu kinauzwa Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Msikiti wa Manyema na Msikiti wa Mtambani Dar-es-Salaam.

Bei shs: 10 000.00.
Kipo kwa Kiswahili na Kiingereza.

Hiki kitabu nakitafuta sana lakini imeshindikana kukipata
 
Back
Top Bottom