GentleGiant
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 585
- 546
Habari ndugu zangu. Leo nina jambo nataka ku-share na nyinyi na nina imani litawasaidia.Leo nitazungumza na wenzangu wasomaji sana wa vitabu ambao kwa experience yangu humu ndo mashujaa wa mada ngumu ngumu.
Kiukweli tunashauriwa kutumia muda mwingi kujijenga kwa kusoma vitabu.Na ni jambo jema sana kuwa na maarifa mengi kichwani kwa sababu inatupa uwezo wa kuchambua taatifa na pia kuwasaidia wengine kupata uelewa wa jambo lililopo mezani.
Lakini ndugu zangu sio kila material inayotokea mbele ya macho yako ni ya kusoma. Usomaji mzuri ni wa kuchagua material za kusoma kwa malengo.Kila unachofikiria kusoma kiwe na lengo la kukuongezea maarifa ambayo yatakuvusha kwenda hatua nyingine ya maturity. Unakuta msomaji hana maarifa kuhusu dini yake lakini anaamua kuchukua muda wake kwenye kusoma vitabu vya Atheist(Wanaopinga uwepo wa Mungu).
Wakati mwingine unakuta mtu anakosa muda wa kusoma habari za imani yake na kujifunza lakini anatenga time yake kusoma habari za freemason.Sasa hebu tujiulize,sawa umeshajua freemasons ni akina nani wakoje then inakusadia nini?Sisemi usijifunze na kuwajua,ninachosema ni kuwa kabla hujatenga muda wa kujifunza mambo ambayo siyo ya awali kwenye personality yako,jifunze kwanza hayo upate kujua kwa undani then ndo ujifunze hayo mengine.
Kati ya platform nyingi ambazo nimepita Jamii Forum ndio paltform ambayo nimekutana na watu wengi wanaojiconsider kuwa ni Atheists.Lakini hoja zao zinazowapelekea kufikiria mlengo huo zinakuwaga ni dhaifu sana ambazo wangekuwa wamejifunza vizuri dini na imani zao wasingefikiria kabisa kuingia kwenye mkumbo huo kulingana na sababu walizotoa.
Sisemi kuwa Atheist hawana hoja,hapana.Ninachosema nikuwa wawe na maarifa kisha watumie hoja za msingi ambazo pengine dini na imani zao zimeshindwa kujibu.Wengi kwa sababu ya kuona kuna ugumu kuelewa mambo ya kiimani na kidini wameona ni rahisi kukimbilia option ya kuwa Mungu hayupo.Huu ni mfano mmoja tu ila iko mingi sana.
Pia kuna jambo la kutambua meseji uliyoiona sehemu inamlenga nani.Hapa nitawaadress wasomaji wa Biblia.Sio kila meseji ni ya kila mtu.Maelekezo mengi yanatokaga kwa kundi fulani fulani kulingana na anayetoa anaongea na kundi gani.Mfano Yesu anaposema ombeni nanyi mtapewa hapa anahusisha Believers (Wanomwamini) kwa wasioamini hii haiiwahusu.Unapoona meseji inamtaka mtu aungame(Repent) inabidi utambue kuwa wanaombiwa ni wasioamini(Unbelievers).Kwa hiyo usije kukomaa huko ukasema Yesu muongo kwamba unaomba sana lakini haupati unachokiomba kumbe jibu ni kuwa ile meseji ilikuwa kwa wanaomwamini tu na sio kila mtu.Ninaposema wanaomwamini simaanishi Holy people,Hapana.Namaanisha wnaomwamini Yesu kuwa mwokozi wao.
Jambo lingine ni kuwa sio kila Article unayokutana nayo INTERNET inafaa kutumika kama reference.(Wasomi wanaelewa namaanisha nini). Nyingine zinaandikwa tu na watu ambao hawako informed kama wewe.
Chagua Material.Elewa mlengwa wa meseji ni nani.