Menina aolewa na kigogo kwa siri

Joined
Jul 25, 2014
Posts
83
Reaction score
36
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka toleo la BSS Menina aolewa kwa siri,nyumbani kwao Kigamboni na mtoto wa aliekuwa waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo.

Inasemekana Menina aligoma katakata kubadili dini hivyo kumlazimu mtoto wa waziri kubadili dini na kufunga ndoa ya Kiislamu na sasa wako honey moon ndani ya nchi.

Nawatakia ndoa njema na maisha mema...

=============

 
hongera nimefurahi kaweka ustaa pembeni
ndoa kwanza tena kimya kimya
 
Najipitia zangu wandugu, nshachoka na life mie
 
Picha iyoooo
 

Attachments

  • Screenshot_2015-08-17-21-03-31-1-1.jpg
    24.5 KB · Views: 1,303
kwa lemutuz ipo picha moja tu ambayo yupo menina na mumewe na wazee wao......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…