Menina aolewa na kigogo kwa siri

Aaah Watu8 wewe mtu mzima bwana, jiongeze hapo kidogo.

Hahah...

Sikutaka kwanza kuwaza hilo unalotaka niwaze ndio maana nikauliza kwanza...

Hata Remmy Ongala alikuwa na mke bi mkubwa...
 
Last edited by a moderator:
Hahah...

Sikutaka kwanza kuwaza hilo unalotaka niwaze ndio maana nikauliza kwanza...

Hata Remmy Ongala alikuwa na mke bi mkubwa...

Hahahaaaaa
Mpaka hapo tumeshaelewana, yatosha.
Si wajua imebaki wiki moja tu? Magereza yanaongezwa ukubwa tu sasa hivi.
 
Usijeitaka harusi kwa pupa....
Usimkimbilie mume ukaukondesha moyo.....
Kassim Mganga keshatutahadharisha....kazi kwetu sasa.

For this,Somebody gonna find herself alone!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…