Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
- Thread starter
-
- #21
Oooh,,, ni kweli ipo kwenye uzi wangu lakini hata nyoka wa porini huwa wanafugwa na binadamu,,,, ivi unadhani jogoo anaweza kuwa kuku dumeInahusu ndio maana ipo kwenye Uzi wako..
Kwahiyo nimepanda mtumbwi wa vibwengo....πOooh,,, ni kweli ipo kwenye uzi wangu lakini hata nyoka wa porini huwa wanafugwa na binadamu,,,, ivi unadhani jogoo anaweza kuwa kuku dume
π€£π€£π€£π€£Kwahiyo nimepanda mtumbwi wa vibwengo....π
KiukomavuHuu uzi nimependa sana comment zake , zipo kiukomavu sana.
Mmhh... Panapobamba ni penye timbwili kaka,,,,,,kwani kwann jua liwe na nguvu kuliko jua π€π€ labda ni vile nakaa majini kwa jiniPanapo moto hapakosi joto, siku zote mbaaz ikikosa kukomaa husingizia jua , usipotumia akili kufikir itaumia mikono kuumiza mwili
MATAGAKuwa na amani Mkuu, Rais hawezi kukuchukia ukimkosoa kwa staha kama hivyo ulivyoandika.
Sisi Waswahili tunasema "Boliti moja haijengi Nyumba"
Tushirikiane kuifanya Tanzania Kubwa tena Duniani (Makes Tanzania Great Again - MATAGA)
Nimekukumbusha mbali sio, enzi za Donar Country πMATAGA