Heshima kwenu wote!
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27,kwa zaidi ya nusu mwaka sasa,jino langu moja la mbele juu,linatingishika,huku nikisikia maumivu kwa mbali,nashindwa kujua nini chanzo chake,kwani sijawahi kujigonga wala sijawahi sumbuliwa na meno,nini sababu?
Nawasilisha kwenu!