Meno kuotea ndani ya fizi

Meno kuotea ndani ya fizi

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Wadau wa afya!

Mwanangu kaotea meno mawili ya mbele ndani ya fizi; ana umri wa miaka 5 na hajawahi kutoa meno.

Nifanye nini na je kuna madhara gani mbeleni?
 
Thats one lakini pia ningependa kujua kama kuna waliowahi ku experirnce hii kitu...........
 
Back
Top Bottom