Meno kupandiana kwa watoto

lbaraka

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
393
Reaction score
248
Kuna tatizo la meno kupandiana kwa watoto. Hili husababishwa na jino linapotingishika halafu likaendelea kukaa bila kung'olewa katika umri wa miaka 6-7. Hivyo lile la ukubwani hujipenyeza kwa pembeni.

Ninachojiuliza ni hili; hayo meno yaliyopandiana yana athari gani kwa mtoto atakapokuwa mtu mzima? Yanaweza kuharibu smile au mashavu kupinda upande wakati wa kuongea akiwa mtu mzima?
 
Jitahidi ukayatoe haraka huharibu shepu ya dental formula
 
Jitahidi ukayatoe haraka huharibu shepu ya dental formula
Yale ya utotoni nlishayang'oa mkuu ila arrangement ya meno imeharibika tayari, so inaaffect smile sana. Ina maana nikayang'oe haya ya ukubwani?
 
Yale ya utotoni nlishayang'oa mkuu ila arrangement ya meno imeharibika tayari, so inaaffect smile sana. Ina maana nikayang'oe haya ya ukubwani?
Hapa sasa ni hospitali tu wana jinsi ya kuyarekebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…