I ISIMBA Senior Member Joined Feb 7, 2013 Posts 144 Reaction score 30 Oct 1, 2014 #1 Habari za mida wakubwa, kuna rafiki yangu meno yake ya mbele yamepasuka/yameoza, hivi kuna uwezekano wa kuyajaza au magego tu ndo huwa yanajazwa? Naomba kujuzwa...
Habari za mida wakubwa, kuna rafiki yangu meno yake ya mbele yamepasuka/yameoza, hivi kuna uwezekano wa kuyajaza au magego tu ndo huwa yanajazwa? Naomba kujuzwa...
A Ariels Member Joined Sep 19, 2014 Posts 21 Reaction score 4 Oct 2, 2014 #2 Yap inawezekana kabisa, mwambie aende kwa dentist.
I ISIMBA Senior Member Joined Feb 7, 2013 Posts 144 Reaction score 30 Oct 3, 2014 Thread starter #3 Ariels said: Yap inawezekana kabisa, mwambie aende kwa dentist. Click to expand... poa mkubwa ntamwambia...
Ariels said: Yap inawezekana kabisa, mwambie aende kwa dentist. Click to expand... poa mkubwa ntamwambia...